Huenda ni mwanamke 1 kati ya 10 ndio amewahi kufika kileleni kwa Dar es Salaam

Huenda ni mwanamke 1 kati ya 10 ndio amewahi kufika kileleni kwa Dar es Salaam

Hizi mambo za kushabikia mapenzi sijui kufikishwa kileleni ndizo zinazospoil ajili za Binti zetu wa siku hizi.
Binti hafahamu chochote kuhusu uhalisia wa maisha zaidi ya kukaa mkao wa kusubiri kukojoleshwa! Vijana wenyewe watarajiwa wa kazi hiyo wanajipigia visungura vilivyochanganywa na energy ***mbaf kabisa
Kaka kipo, kwani ninyi wanaume wa siku hizi kutufikisha kileleni ni mpaka mtumie K-vant, energy, kifurushi, karanga, mihogo mibichi, supu ya pweza?

Baba zenu wametufikisha pasi na kutumia kitu chochote zaidi ya ugali wa kawaida wa migogo, daga, mchicha na ulanzi.

#jitafakari acha kulia lia.
 
Back
Top Bottom