Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #61
Eve wewe kweli umefikishwa, nitakutafuta Dm tuyajenge shosti angu.Nilihisi kama napigwa shoti kuanzia kwenye unyayo inapanda juu....kufika kifuani nikataka kuzimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eve wewe kweli umefikishwa, nitakutafuta Dm tuyajenge shosti angu.Nilihisi kama napigwa shoti kuanzia kwenye unyayo inapanda juu....kufika kifuani nikataka kuzimia
Endelea kujidanganya.Hayo mengine mwanamke hataki, nyumba Masaki, Gari , Vaccation Dubai na credit card utampa ila kama humfikishi kileleni siku akipata hata mkata majani au shamba-boy anayesimamia kucha hapo kwako ,atagongwa kwenye banda la n'gombe.
Mama mwenzako???SWALI KWA WANAWAKE: Je, Mama mwenzangu , kuwa mkweli, umewahi kufikishwa kileleni? Umewahi kurusha maji? Squitting?
Sio shost ni ng'ombe iliyozeekaDream on 😁😁😁
Mwanamke akishajua utamu wa kumkojoza usipo weza kumkojoza anakuona kama shost yake tu
Sex ni muhimu kwenye kudumisha mahusianoBrother maisha sio kutoana maji tu. Kuna mengi nje ya maji
Si kweli, kuna namna ya kutuandaa, tatizo mnajidanganya na supu z apweza na kongoro ndio maana hamtufikishi.Sio shost ni ng'ombe iliyozeeka
Warombo tena wa Tarakea na Mengwe ndio wanaokwenda kwa Wakamba, mimi ni wa Tandahimba.Tatizo ni kwamba muanzisha thread ni mwanamke wa Kaskazini! ambapo wakina mama wa huko wanakimbilia Kenya kupata huduma ya kujamiiana.
Mi mwanamke shooo, wanaume wasiotifikisha vileleni tunawaona km ng'ombe au mbusiSi kweli, kuna namna ya kutuandaa, tatizo mnajidanganya na supu z apweza na kongoro ndio maana hamtufikishi.
Sawa Manka!Warombo tena wa Tarakea na Mengwe ndio wanaokwenda kwa Wakamba, mimi ni wa Tandahimba.
mimi nimesoma Sheria, niliacha sayansi, tufunze!H²O haitoki kwa kila mtu, rejea biology
Kufika kileleni kwa baadh ya wanawake huambatana na kurushwa kwa maji maji ukeni yakiruka kama bomba kupitia njia ya uke lakini si haja ndogo.Majimaji hutoka karibu na uke, kwenye tezi inayoitwa "skene".
Kwa wanaume wakifika kileleni hukakamaa, hutoa mlio kama simba, kumkumbatia mwenza na kupata usinizi mzito sana.
Wapo wanaume wachache wanaweza kuunganisha bao la kwanza la la pili, wachache sana na wengi ni wa Mikoa ya Kaskazini kwa tafiti zinaonyesha Arusha na Kilimanjaro.
Tatizo kubwa katika hili ni kwamba ukienda kwenye tendo la ndoa kwa ajili ya kujifurahisha na kuishia kughushi, unachopata ni kuchanganyikiwa na kupungua kwa hamu.
Wakati mwingine kufika kileleni haionekani, kwa sababu tuna wasiwasi, tumechoka, kwenye lishe, na kazi nyingi ... Lakini hii lazima iwe kitu maalum. Ikiwa hufikii mara saba kati ya 10, nenda moja kwa moja kwenye mtaalam wa ngono.
Wanandoa wengi , yaani wanaume na wanawake wana tabia ya kuighushi ikiwa wanapoteza ugumu wa uume au wanapata shida kuitunza, ama kwa sababu ya wasiwasi au kwa sababu wanatumia dawa za mfadhaiko (dawa hizi hupunguza kasi ya kufika kileleni).
Kuna mtu ana ndoa ya miaka 30 na hajawahi kufikishwa kileleni.
SWALI KWA WANAWAKE: Je, Mama mwenzangu , kuwa mkweli, umewahi kufikishwa kileleni? Umewahi kurusha maji? Squitting?
SWALI KWA WANAUME: Mkeo/mchumba kama hujawahi kumfikisha kileleni, au kama hujawahi kumtoa hayo maji siku ikitokea akakutana na dereva boda-boda akamfikisha kileleni basi ndoa imekufa.!
GEN -Z na WANAUME: Mkiona mwanaume mwenye ndoa anakula chips au ice cream au kuku wa kisasa mwambie atasaidiwa kazi na dereva bodaboda.
NOTE: Wanawake wengi wanaofungua talaka pale Mahakama ya Temeke-kituo jumuishi , wanaleta visingizio vingi ila kikubwa ni kutofikishwa kilwlwni na wao wakiona uzi kama hu ndio hasira kabisa.