Tetesi: Huenda ni ujinga wangu ila huenda nikielimishwa nitaelewa

Tetesi: Huenda ni ujinga wangu ila huenda nikielimishwa nitaelewa

Nakumbuka dada zangu waliniambia walikuwa wanachangishwa shilingi 20 ,20 za mafuta ya Mwenge.Nyerere alikuwa fisadi jamani.Kuwachangisha wananchi masikini mafuta ya mwenge hapana kabisa aisee.
Sasa hivi unafikiri unakimbizwa kwa gharama za nani?
 
Nakumbuka dada zangu waliniambia walikuwa wanachangishwa shilingi 20 ,20 za mafuta ya Mwenge.Nyerere alikuwa fisadi jamani.Kuwachangisha wananchi masikini mafuta ya mwenge hapana kabisa aisee.
Tena wanafunzi unachanga 20 na wazazi wanachanga ingawa nilikuwa sijui wanachanga sh ngapi.

Nakumbuka kuna Mzee mmoja alikuwa Mchungaji Wa madhehebu ya Mashahidi Wa Yehova pale kijijini kwetu,Aligoma kuchangia akidai siwezi kuabudu sanamu la kibatari ambalo hata wachawi hulitumia usiku.

Kesho yake akaja kuchukuliwa na polisi pamoja na hayo aligoma katakata, kilichofuata ni kupiga marufuku hilo dhehebu ilikuwa eights miaka hiyo huo siyo mwenge tu nadhani ni zaidi ya tujuavyo.
 
Nyerere alikuwa fisadi wa mawazo ,hata mimi nakumbuka kusema zidumu fikra za mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.shule ya msingi miaka ya tisini na sita tuliimba Naapa Naahidi mbele ya chama ,mapinduzi nitakulinda mpaka kufa.Yaani walihakikisha wanafisadi mpaka akili za watoto shule za msingi.Yaani akija waziri siku hiyo hakuna masomo ni kuimba nyimbo za kusifia chama.
Siyo waziri tu Mkuu hata mwenyekiti Wa CCM wilaya,ikifika tarehe 5/2 wanatusomba kwenye malori ya maembe tunaenda kupiga kwata kwenye jua enzi hizo tunaita chipukizi,CCM Mungu anawaona mlichokuwa mnatufanyia sawa IPO siku yenu.
 
Kukimbiza mwenge ni tafsiri ya ufinyu wa akili za watawala wetu.

Akili zao ndo zilipokwamia hapo.
 
Hadi muda huu nakaribia miaka 60 sijui maana au sababu hasa ya kukimbiza mwenge. Jf ya wabobezi nisaidieni mwenge una tofauti gani na KIBATARI kikubwa?View attachment 1183141
Wewe ni mpumbavu ,unakaribia miaka 60 hujajua kwanini kuna.mbio za mwenge mpaka sasa,unategemea majibu kutoka kwa vijana walioko jukwaani ambao wengi umri wao ni kuanzia 18 mpaka 35.wakujibu nini wewe babu?
Endelea kupiga nyeto kunywa gongo na kuvuta bangi mixer na nyota ,ndio.maisha uliyochagua
 
Nakumbuka dada zangu waliniambia walikuwa wanachangishwa shilingi 20 ,20 za mafuta ya Mwenge.Nyerere alikuwa fisadi jamani.Kuwachangisha wananchi masikini mafuta ya mwenge hapana kabisa aisee.
Atueleze 1.5 trilion zilipo
 
Kwamba Nyerere alikuwa fisadi???????

Okay, mwaka gani walichangishwa
Kwa mfanyakazi nakumbuka unafika dirisha LA kupokea mshahara unakutana na tangazo LA Mwenge inakatwa juu KWA juu wakati nasoma primary tulikuwa tuna changia tsh 2 shilingi mbili usipoleta viboko na unapopita mnaambiwa mkasimame barabarani na majani mkishangilia
 
 
mwenge ni alama ya taifa
emblem.png

images (1).jpeg

polisi.jpeg

magereza.jpeg



japo mbio za mwenge ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi masikini
 
Kiukweli Mwenge Ni Pasua Kichwa Akuna Anae Jua Vizuri Ni Siri Iliyo Fichwa Kila Mtu Anaongea Lake Na Tazamo Wake
 
Back
Top Bottom