Tetesi: Huenda ni ujinga wangu ila huenda nikielimishwa nitaelewa

Mambo yanayofanyika sehemsehemu mwenge unapolala wala hayaelezeki
 
Wewe ni mpumbavu ,unakaribia miaka 60 hujajua kwanini kuna.mbio za mwenge mpaka sasa,unategemea majibu kutoka kwa vijana walioko jukwaani ambao wengi umri wao ni kuanzia 18 mpaka 35.wakujibu nini wewe babu?
Endelea kupiga nyeto kunywa gongo na kuvuta bangi mixer na nyota ,ndio.maisha uliyochagua
Mkuu mbona unaongea kama teja ?
 
“Sisi tumekwishauwasha Mwenge,
tumekwisha uwasha Mwenge.
Na kuuweka juu ya mlima, Mlima Kilimanjaro.
Kuwasha Mwenge, Kuwasha Mwenge na kuuweka Kilimanjaro;
Kuwasha Mwenge, Kuwasha Mwenge na kuuweka Kilimanjaro.”

Umulike ndani na nje ya mipaka yetu,
ulete matumaini pale ambapo hakuna matumaini,
ulete upendo mahali penye chuki na heshima mahali palipojaa dharau”.
 
Nyerere alikuwa fisadi wa mawazo ,hata mimi nakumbuka kusema zidumu fikra za mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.shule ya msingi miaka ya tisini na sita tuliimba Naapa Naahidi mbele ya chama ,mapinduzi nitakulinda mpaka kufa.Yaani walihakikisha wanafisadi mpaka akili za watoto shule za msingi.Yaani akija waziri siku hiyo hakuna masomo ni kuimba nyimbo za kusifia chama.
Duh! Kumbe tunabadilishana mawazo na watoto wetu humu. Nashangaa kusikia mpaka miaka ya tisini mliimba hizo nyimbo. Wahenga wa umri wangu tuliziimba miaka ya sabini na mwanzoni mwa themanini.
 
Wewe ni mpumbavu ,unakaribia miaka 60 hujajua kwanini kuna.mbio za mwenge mpaka sasa,unategemea majibu kutoka kwa vijana walioko jukwaani ambao wengi umri wao ni kuanzia 18 mpaka 35.wakujibu nini wewe babu?
Endelea kupiga nyeto kunywa gongo na kuvuta bangi mixer na nyota ,ndio.maisha uliyochagua
Balaaaa ziiito
 
Nakumbuka kuimba wimbo wa naapa naahidi,tena hapo mageuzi yalikuwa tayari.Mwalimu alipofariki kidogo mageuzi yakajikita.
 
Wewe ni mpumbavu ,unakaribia miaka 60 hujajua kwanini kuna.mbio za mwenge mpaka sasa,unategemea majibu kutoka kwa vijana walioko jukwaani ambao wengi umri wao ni kuanzia 18 mpaka 35.wakujibu nini wewe babu?
Endelea kupiga nyeto kunywa gongo na kuvuta bangi mixer na nyota ,ndio.maisha uliyochagua
Haikugharimu kitu kukaa kimyaa ikiwa huna jibu aisee. Sasa hizi kejeli zako za nn?
 
Hadi muda huu nakaribia miaka 60 sijui maana au sababu hasa ya kukimbiza mwenge. Jf ya wabobezi nisaidieni mwenge una tofauti gani na KIBATARI kikubwa?View attachment 1183141
Acha kudhalilisha kibatari kukifananisha na upuuzi(mwenge), mwenge ni laana na ndiyo kiini cha nchi kuwa ya gundu la kudumu.
 
Madhumuni na sababu za kuanzishwa mwenge kwa Tanzania yetu ya sasa ni kama hakuna mashiko au yamepitwa na wakati. Uliitwa mwenge wa uhuru...... kwa sasa tuko huru, afrika nzima iko huru. Tunapoteza muda na resources kushikilia vitu visivyo na maana.
 
Nyerere alikuwa fisadi wa mawazo ,hata mimi nakumbuka kusema zidumu fikra za mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.shule ya msingi miaka ya tisini na sita tuliimba Naapa Naahidi mbele ya chama ,mapinduzi nitakulinda mpaka kufa.Yaani walihakikisha wanafisadi mpaka akili za watoto shule za msingi.Yaani akija waziri siku hiyo hakuna masomo ni kuimba nyimbo za kusifia chama.
Vipi fikra za mwenyekiti wa sasa?
 
Mkuu
Ndiyo maana mpaka Leo sisi ni masikini wakutupwa

Ni vizuri hili jambo litafutiwe namna ya kuliondoa ili kuondoa laana katika nchi. Tunafanya matambiko na kuwekeana maagano bila kujua.
Kuna kipindi nilisikia viongozi wa mbio za mwenge hawaishi muda mrefu baada ya kumaliza mbio hizo, sijui ni kweli?
 
Are you serious? Nyerere fisadi? Kawaulize vizuri dada zako
Nakumbuka dada zangu waliniambia walikuwa wanachangishwa shilingi 20 ,20 za mafuta ya Mwenge.Nyerere alikuwa fisadi jamani.Kuwachangisha wananchi masikini mafuta ya mwenge hapana kabisa aisee.
 
Huyu Mzee ndiye alikuwa anakuchapia mamako?
Wewe ni mpumbavu ,unakaribia miaka 60 hujajua kwanini kuna.mbio za mwenge mpaka sasa,unategemea majibu kutoka kwa vijana walioko jukwaani ambao wengi umri wao ni kuanzia 18 mpaka 35.wakujibu nini wewe babu?
Endelea kupiga nyeto kunywa gongo na kuvuta bangi mixer na nyota ,ndio.maisha uliyochagua
 
Wewe ni mpumbavu ,unakaribia miaka 60 hujajua kwanini kuna.mbio za mwenge mpaka sasa,unategemea majibu kutoka kwa vijana walioko jukwaani ambao wengi umri wao ni kuanzia 18 mpaka 35.wakujibu nini wewe babu?
Endelea kupiga nyeto kunywa gongo na kuvuta bangi mixer na nyota ,ndio.maisha uliyochagua
Aisee mbona povu kiasi hiki,
Mbona kuna kiongozi mkubwa nchi fulani hajui Sadam alikuwa raisi wa nchi gani wakati hili swali hata mtoto wa darasa la pili anajibu
 
Nakumbuka dada zangu waliniambia walikuwa wanachangishwa shilingi 20 ,20 za mafuta ya Mwenge.Nyerere alikuwa fisadi jamani.Kuwachangisha wananchi masikini mafuta ya mwenge hapana kabisa aisee.
Hadi leo wanachangishwa hasa vijijini tena ni lazima utoe. Kuna kijiji walichangishwa na kuambiwa mwenge utalala hapo kijijini matokeo yake ukaenda kijiji kingine.
 
Siasa za kijima zimejaa ushirikina. Mwenge ni hirizi ya taifa.
 
Back
Top Bottom