Hiyo kiapo cha uzalendo inatofauti gani na hii ideology mpya ya uzalendo ya wanaMATAGA wa leo?Nyerere alikuwa fisadi wa mawazo ,hata mimi nakumbuka kusema zidumu fikra za mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.shule ya msingi miaka ya tisini na sita tuliimba Naapa Naahidi mbele ya chama ,mapinduzi nitakulinda mpaka kufa.Yaani walihakikisha wanafisadi mpaka akili za watoto shule za msingi.Yaani akija waziri siku hiyo hakuna masomo ni kuimba nyimbo za kusifia chama.
Hadi muda huu nakaribia miaka 60 sijui maana au sababu hasa ya kukimbiza mwenge. Jf ya wabobezi nisaidieni mwenge una tofauti gani na KIBATARI kikubwa?View attachment 1183141