Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Bandari ina waendeshaji mahiri wawili na sio mwisho kuna ya Tanga inakuja pia.Hao wanaojielewa ni akina nani, matapeli kama wewe?
Umejiunga humu JF, kwa jina bandia (maalum) kuhadaa watu kwa sababu moja tu, ya kutetea ujinga, na kushibishwa kwa kuihujumu nchi. Kuna sifa yoyote hapo?
Umeingia humu JF kwa kazi moja tu, nayo inaelekea ukingoni.