Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Jibu Basi hoja zakeHuyu naye ni boga tu, anapewa umaarufu wa bure.....
Huyu alikuwa anakaanga samaki sokoni, akajua vifungu viwili vya biblia kawa askofu.
Na ile misuti yake ya kushona kwa fundi mwanzalima chini ya muembe, hovyo kabisa
Sifa ya kuwa ni mtanzania tu inatosha kuhoji maslahi ya nchi yake
Ata Kama ni fundi viatu
Usiwe mjinga kiasi hicho