Pre GE2025 Huenda sababu ya Askofu Machumu kukamatwa ni kauli yake "...Bwana alitoa, CCM wametwaa, jina lao lilaaniwe!"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu naye ni boga tu, anapewa umaarufu wa bure.....

Huyu alikuwa anakaanga samaki sokoni, akajua vifungu viwili vya biblia kawa askofu.

Na ile misuti yake ya kushona kwa fundi mwanzalima chini ya muembe, hovyo kabisa
Yego mkayeneki na Machumu go?
 
Huyu naye ni boga tu, anapewa umaarufu wa bure.....

Huyu alikuwa anakaanga samaki sokoni, akajua vifungu viwili vya biblia kawa askofu.

Na ile misuti yake ya kushona kwa fundi mwanzalima chini ya muembe, hovyo kabisa
Lakini alichokisema ni kweli au siyo kweli?
 
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi.

=======

Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza Tanganyika, naomba iwe wazi hiyo. Yeye ameamua rasmi kuiuza Tanganyika kuanzia bandari zake, misitu, mapori yake tena ameuza kwa waarabu.

Kama wanadai nimesema uongo, watuambie ile mikataba waliofanya kule Dubai, mikataba 39 inahusu nini?

Tumewekewa mikataba miwili, mkataba wa kwanza, mkataba wa bandari. Ule mkataba wa bandari ukiusoma, unasema kwamba bandari zinakabidhiwa kwa waarabu mpaka shughuli za bandari zitakapoisha maana yake ni kwamba mpaka Yesu arudi.

Tunauliza, ni kwa shilingi ngapi hatuambiwi. Magufuli alipoingia madarakani alikuta mkataba mmoja wa kuuza bandari ya Bagamoyo. Bandari ile ilikuwa inakabidhiwa kwa wachina kwa miaka 99 ila watajenga wenyewe.

Akasema mkataba huu, mtu yeyote anayetaka kuingia mkataba huu lazima kwanza awe chizi na mwendawazimu.

Sasa mama Samia nitafutieni jina la kumpa maana kama ni uchizi ameshazidi hapo. Ameuza bandari sio moja, ameuza bandari 54 za Tanganyika za kwenye bahari mpaka maziwa, kwa miaka mingapi hatujui, kwa shilingi ngapi hatujui!
Mimi nawaambia ukweli, mama huyu tumalizane naye safari hii, tumalizanane naye Serikali za mtaa, msichague chama chake. Mkichagua CCM atapata nguvu ya kugombea, kama amewauza kwenye awamu yake ya kwanza, awamu ya pili atawafanyaje!

Pia soma:

Singida: Baba Askofu Machumu akamatwa kwa Uchochezi
Duh! Huyu Askofu kweli kapitiliza na amekithiri viwango. Hii ndo hasara ya kukosa japo Elimu ya wastani tuu. :KEKBye:

Atakapofikishwa mbele ya Sheria bila shaka ataelimishwa zaidi kwamba Uchochezi ni kitu gani na Udhalilishaji inamaanisha nini na Shambulio la mtu binafsi inakuwaje au ni nini.
Askofu; badala ya kufanya kazi ya Uaskofu anarukia siasa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi.

=======

Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza Tanganyika, naomba iwe wazi hiyo. Yeye ameamua rasmi kuiuza Tanganyika kuanzia bandari zake, misitu, mapori yake tena ameuza kwa waarabu.

Kama wanadai nimesema uongo, watuambie ile mikataba waliofanya kule Dubai, mikataba 39 inahusu nini?

Tumewekewa mikataba miwili, mkataba wa kwanza, mkataba wa bandari. Ule mkataba wa bandari ukiusoma, unasema kwamba bandari zinakabidhiwa kwa waarabu mpaka shughuli za bandari zitakapoisha maana yake ni kwamba mpaka Yesu arudi.

Tunauliza, ni kwa shilingi ngapi hatuambiwi. Magufuli alipoingia madarakani alikuta mkataba mmoja wa kuuza bandari ya Bagamoyo. Bandari ile ilikuwa inakabidhiwa kwa wachina kwa miaka 99 ila watajenga wenyewe.

Akasema mkataba huu, mtu yeyote anayetaka kuingia mkataba huu lazima kwanza awe chizi na mwendawazimu.

Sasa mama Samia nitafutieni jina la kumpa maana kama ni uchizi ameshazidi hapo. Ameuza bandari sio moja, ameuza bandari 54 za Tanganyika za kwenye bahari mpaka maziwa, kwa miaka mingapi hatujui, kwa shilingi ngapi hatujui!

Mimi nawaambia ukweli, mama huyu tumalizane naye safari hii, tumalizanane naye Serikali za mtaa, msichague chama chake. Mkichagua CCM atapata nguvu ya kugombea, kama amewauza kwenye awamu yake ya kwanza, awamu ya pili atawafanyaje!

Pia soma:

Singida: Baba Askofu Machumu akamatwa kwa Uchochezi

Anachokisema Askofu Mwanamapinduzi ni kweli. Kama anatupiga hivi term ya kwanza ... Term yake ya pili itakuwa ni balaa.

Wakati wa Mwinyi, term yake ya pili aliuza Loliondo kwa Waarabu na kusafirisha dhahabu kwenda Uarabuni. Mama Sitti alikutwa na kilo kadhaa airport akizitorosha.

Wakati wa Mkapa, term yake ya pili ndiyo Ufisadi ulikithiri. Alikuja na Kangoda na meremeta .... alijiuzia mpaka mgodi wa madini. Kwenye Kitabu chake kakili kutuibia dolla 100 million.

Wakati wa Kikwete, yeye alianza kukiamsha toka awamu yake ya kwaza kupitia Richmond. Ila awamu ya pili tunajua ni jinsi gani alitupiga. Watu walisomba pesa kwenye mifuko ya sandarusi .... kuna watu walipiga Billion 1 kwenye pesa za Escrow wakadai ni pesa ya Bonda au visenti senti tu.

Wakati wa Magufuli, Biashara pia ilianza asubuhi. Chato ikajengwa usiku na mchana. Tenda zitlitolewa mpaka kwa Bashashi wake .... Ikulu na kazi zake zikahamia huko. Wote mnakumbuka ile danadana kwenye ukwapuaji wa 1.5 Trillion ambazo zilisababisha CAG apigwe buti.

Sasa Awamu ya Maza. Naona alijifunza kutoka awamu iliyopita kuwa "An Early bird ...." Yaani JPM kama angesubri mpaka term ya pili angeiacha familia maskini. Anyway, yeye kaja na style mpya ya upigaji kupitia mikataba. Kuanzaia Uarabuni, Hindi mpaka Korea .... Kazi inaendelea. Hakuna dalali yeyote kama ataishia awamu hii tu .... Kitendo cha ABDUL kuibuka sasa inaonyesha mandalizi ya term ya lala salama.
 
Tutaona idadi ya maskofu wakipanda majukwaani inaongezeka, wakishaona hijab wanaumia, wakati wa Magufuli , Mkapa hatukuona haya, tulianza wakati wa mwinyi

Huyo Mkapa na Magufuli waliuza nini, kwa nani na kwa miaka mingapi?

Tujibu hoja zake, tusipige porojo.
 
Huyu naye ni boga tu, anapewa umaarufu wa bure.....

Huyu alikuwa anakaanga samaki sokoni, akajua vifungu viwili vya biblia kawa askofu.

Na ile misuti yake ya kushona kwa fundi mwanzalima chini ya muembe, hovyo kabisa
Why are you 😠
 
Uzuri sasa ni kwamba watu watasikia yasemwayo na kuamua wenyewe ukweli wanaouamini. Hapo hakuna cha suti wala kukaanga samaki; wala kuendesha ki-ngo mshamba!
 
Kuna wajinga kuwajibu ni kujichosha tu.
EEEeeeeNHEEEeeee!
Nakumbuka uliyosema wakati ule, na kweli sasa ndiyo njia sahihi inayofuatwa na Samia wako.
Kwamba tokea wakati wa hiyo mikataba ya Bandari kuvujwa, kila kitakachokuwa kinafanyika itakuwa ni siri kubwa. Sasa ndiyo haya tunayoyashuhudia kweli. Kila kitu ni siri kubwa.
Sijui kama umekwisha tambua matokeo ya kufanya kazi za wananchi kwa njia za namna hiyo.
Ngoja tusubiri kuona tutafikia wapi.
 
Hata mimi ningekuwa samia ningemkamata
Maneno yake yanauma sanaaaa

Hata kinjikitile ngwale asingesign mkataba huu

Hii nchi mababu zetu wamepambania uhuru alaf mtu anauza tu bandari
 
Huyu naye ni boga tu, anapewa umaarufu wa bure.....

Huyu alikuwa anakaanga samaki sokoni, akajua vifungu viwili vya biblia kawa askofu.

Na ile misuti yake ya kushona kwa fundi mwanzalima chini ya muembe, hovyo kabisa
Kipindi cha Mwendazake hawa wachungaji wanaharakati walikuwa wapi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
  • Thanks
Reactions: Tui
NIMEIPENDA HII KAULI :JOKATE BALOZI WA MIREMBE NAMFIKISHIA

Huenda sababu ya Askofu Machumu kukamatwa ni kauli yake "...Bwana alitoa, CCM wametwaa, jina lao lilaaniwe!"​

EEEeeeeNHEEEeeee!
Nakumbuka uliyosema wakati ule, na kweli sasa ndiyo njia sahihi inayofuatwa na Samia wako.
Kwamba tokea wakati wa hiyo mikataba ya Bandari kuvujwa, kila kitakachokuwa kinafanyika itakuwa ni siri kubwa. Sasa ndiyo haya tunayoyashuhudia kweli. Kila kitu ni siri kubwa.
Sijui kama umekwisha tambua matokeo ya kufanya kazi za wananchi kwa njia za namna hiyo.
Ngoja tusubiri kuona tutafikia wapi.
Tija ya uwekezaji wa hapo bandarini haikwepeki.

Kuweza kuielezea mara kwa mara ni kupoteza muda kwa aina ya akili zinazojaa ubishi wa kijinga tu.
 
Unalolijua wewe ni kipi kuhusu maswali aliyouliza hapo utupatie majibu?
Alijaribu kupotosha waumini wake kuhusu uwekezaji mzima lakini akaumbuka kadri wataalam walivyouanika wazi huo mkataba.

Ameumbuka zaidi baada ya kugundulika kwamba serikali kuingia mkataba na DP World hakuzuii wawekezaji wengine kuwekeza katika bandari nyinginezo.
 
Back
Top Bottom