Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Magufuli kaongoza nchi miaka mitano na miezi michache, hata siku moja huwezi kusikia askofu wa kanisa lolote kainua mdomo kumpinga.Yeye kaongea moja kwa moja bila mantiki, hata nyumbani baba akikosea kuna namna ya kumwambia ukweli.
Uelewa wetu ni mdogo na tunavyopiga makelele zaidi tunazidi kuanika ujinga mwingi ulio ndani ya vichwa vyetu.