Pre GE2025 Huenda sababu ya Askofu Machumu kukamatwa ni kauli yake "...Bwana alitoa, CCM wametwaa, jina lao lilaaniwe!"

Pre GE2025 Huenda sababu ya Askofu Machumu kukamatwa ni kauli yake "...Bwana alitoa, CCM wametwaa, jina lao lilaaniwe!"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huna hata aibu kusema uongo!
WaTanzania wameendesha kwa ufanisi bandari yao baada ya ukarabati, na kabla ya kuigawa kwa hao wajomba zenu, halafu unakuja hapa kutaka kupotosha watu, kama alivyo fanya huyo huyo mlisha uchafu wako!
Katafute elimu pana ya shipping vinginevyo hili gubu litakutesa mpaka uzeeni.
 
Nitakuwa napoteza muda kuanza kukueleza Samia kwanini kaamua kufuata kanuni ya shipping aliyoamua kuitumia.

Ni darasa pana ambalo kwako ni kupoteza muda iwapo nitaamua kukupatia.
Hujui kitu, na huyo aliyekuleta humu kutetea hujuma mnazolitendea taifa hili nyote hakuna mlijualao, ila kutimiza lengo tu la kuhujumu na kufisadi, basi.
"...hilo darasa pana" linalowachukuwa nyinyi miaka 30 kulimudu, hiyo siyo ajabu?
 
Hakuna anayekufanya tegemezi kwa yoyote yule ni mahitaji ya bandari ya muda huu katika mazingira ya ushindani wa shoroba uliopo muda huu ndio unaoifanya biashara ya TPA na DP iwe na umuhimu kwa sasa.
"Muda huu"; miaka 30 au zaidi? Hata kama ni bangi inakuondoa akili kiasi hiki, si bora uachane nayo?

Unapo andika nisome, takataka za aina hii, unajidhalilisha.
 
Hujui kitu, na huyo aliyekuleta humu kutetea hujuma mnazolitendea taifa hili nyote hakuna mlijualao, ila kutimiza lengo tu la kuhujumu na kufisadi, basi.
"...hilo darasa pana" linalowachukuwa nyinyi miaka 30 kulimudu, hiyo siyo ajabu?
Tajiri wa kampuni ya India katua na ndege binafsi na akaonana na SSH kisha huyoo katimba zake.

Majungu kabaki nayo Kalamu na watu wa aina yake.
 
Huna elimu yoyote wewe, utanihimiza vipi nikatafute elimu mimi. Haihitaji kuwa na elimu ya hiyo unayoiita 'shipping' kujuwa uhujumu mnaofanya.
Wewe piga kelele humu JF wakati huna msaada wowote kwa Tanzania halisi huko mtaani.

Mdosi keshamalizana na Rais kaondoka zake ni muda wa kuongeza tija pale bandarini.
 
Tajiri wa kampuni ya India katua na ndege binafsi na akaonana na SSH kisha huyoo katimba zake.

Majungu kabaki nayo Kalamu na watu wa aina yake.

Kwa hiyo wewe hili ndilo linalokoga roho yako, kushangilia tu hata usiyo yaelewa?
Kaleta michango ya uchaguzi 2025? Haitoshi, mtazolewa tu.
 
Wewe piga kelele humu JF wakati huna msaada wowote kwa Tanzania halisi huko mtaani.

Mdosi keshamalizana na Rais kaondoka zake ni muda wa kuongeza tija pale bandarini.
Mimi naridhika sana na kukuelimisha wewe na kukueleza upuuzi mnaofanya. Sina shaka hata kidogo kwamba hata ujifanye huelewi, ukweli ni kwamba unatambua ushenzi mnaolifanyia taifa letu.

Utatambua msaada ninaotoa huku mtaani, hili usiwe na shaka nalo.
 
Tajiri wa kampuni ya India katua na ndege binafsi na akaonana na SSH kisha huyoo katimba zake.

Majungu kabaki nayo Kalamu na watu wa aina yake.
Muulize mama yako kaomba aachiwe kiasi gani cha kununulia kura. Hata mgawe pesa mitaani, safari hii zitawatokea puani.
 
Mimi naridhika sana na kukuelimisha wewe na kukueleza upuuzi mnaofanya. Sina shaka hata kidogo kwamba hata ujifanye huelewi, ukweli ni kwamba unatambua ushenzi mnaolifanyia taifa letu.

Utatambua msaada ninaotoa huku mtaani, hili usiwe na shaka nalo.
Utatoa msaada kwa wajinga fulani tu kwa wanaojielewa wanaishia kukuchora tu.
 
Conspiracy theories, akili za udaku hizi na kibaya zaidi chuki Za kibaguzi zinakusumbua.
Unaona sasa unavyo dhihirisha kutojuwa kitu? Hapo kuna 'conspiracy' gani unayo izungumzia. Nikikwambia elimu haitoshi, huamini!
Chuki pekee niliyo nayo juu ya huyo mama ni kuiharibu Tanzania. Hili silionei haya hata kidogo. Angefanya vizuri kwa maslahi ya nchi hii usingesikia nasema kitu.
Sasa unakimbilia kwenye "ubaguzi", tuache kusema kwa kuogopa kuitwa wabaguzi?
Inapokuja kwa Tanzania, tumia maneno yote unayotaka, hayatatikisa kitu hapa.
 
Utatoa msaada kwa wajinga fulani tu kwa wanaojielewa wanaishia kukuchora tu.
Hao wanaojielewa ni akina nani, matapeli kama wewe?
Umejiunga humu JF, kwa jina bandia (maalum) kuhadaa watu kwa sababu moja tu, ya kutetea ujinga, na kushibishwa kwa kuihujumu nchi. Kuna sifa yoyote hapo?

Umeingia humu JF kwa kazi moja tu, nayo inaelekea ukingoni.
 
Biashara imekwisha hiyo.
Ndiyo kwanza inaanza. Na haitawaacha salama.
Unaona lakini jinsi mnavyo tapatapa na hizi teuzi za kila mara?
Huyo anayekuleta hapa, "uteuzi" wake unafikia mwisho. Tena muwashukuru sana waTanzania mkitoka salama.
 
Hata kama ni uhuru wa kuongea huyu amezidi! Sheria ichukue tu mkondo wake, hawa maaskofu wakutuchanganyia dini na siasa nalo liangaliwe vizur
 
Unaona sasa unavyo dhihirisha kutojuwa kitu? Hapo kuna 'conspiracy' gani unayo izungumzia. Nikikwambia elimu haitoshi, huamini!
Chuki pekee niliyo nayo juu ya huyo mama ni kuiharibu Tanzania. Hili silionei haya hata kidogo. Angefanya vizuri kwa maslahi ya nchi hii usingesikia nasema kitu.
Sasa unakimbilia kwenye "ubaguzi", tuache kusema kwa kuogopa kuitwa wabaguzi?
Inapokuja kwa Tanzania, tumia maneno yote unayotaka, hayatatikisa kitu hapa.
Wewe wivu unakutesa hakuna wa kukusaidia,

Bandari imefanyiwa uwekezaji mpana unaoongeza tija, unataka afanye kipi kama sio ubaguzi na roho mbaya!?.

Unataka ayashushe mawingu tuweze kuyashika kwa mikono yetu?.
 
Back
Top Bottom