Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,781
Kwahiyo unataka tukubali kila mkataba haka kama tunauona ni wa kinyonyaji???nguvu kubwa inayotumika ni kutaka kuua dhana ya uwekezaji kwenye vichwa vya watanzania jambo ambalo si sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unataka tukubali kila mkataba haka kama tunauona ni wa kinyonyaji???nguvu kubwa inayotumika ni kutaka kuua dhana ya uwekezaji kwenye vichwa vya watanzania jambo ambalo si sawa
Anaweza kuongea na kwa siri. Mikataba yote ilikuwa siri.Tofauti na watu wengine Raisi Samia akiongea lolote kuhusu mkataba wa DP world litamfikia mkuu wa wa Dubai. Sasa tatizo ni nini?
1. Kwanza akisema mazuri tu itakuwa vigumu kwenda kwao tena na kurekebisha mkataba
2. Akisema mabaya ya mkataba wazi wazi watajitoa kwenye mkataba mzima kitu ambacho hawezi kufanya.
Hivyo marekebisho yatafanya na watu wa chini yake. Dubai wana utamaduni wa kifalme na huu utamaduni unawafanya wamweke Raisi wetu kwenye level ya juu kama ufalme wao.
Hivyo ndiyo maana Rais Samia kafugwa mdomo maana akisema lolote ni tatizo.
Kwa ule mkataba, wametudharau sana na kutuona hatuna thamani ya kuwepo kwenye eneo ambalo Muumba Mbingu ametupatia.Dubai wana utamaduni wa kifalme na huu utamaduni unawafanya wamweke Raisi wetu kwenye level ya juu kama ufalme wao.
Anaweza kuongea na kwa siri. Mikataba yote ilikuwa siri. Mkatab wa misitu unaujua?
Kipaji, uwezo, utaalamu wa viongozi wetu ni kuuza nchi, kuingia mikataba mibovu, kukaa kimya.Kwa ule mkataba, wametudharau sana na kutuona hatuna thamani ya kuwepo kwenye eneo ambalo Muumba Mbingu ametupatia.
Hawawezi kututoa, ila wanatufanya walinzi na watumwa wao na watawala wanakuwa wa wanyapara.
Dubai kitu gani na nchi yetu , sie sio waarabu, wanatakiwa karibishwa kwa biashara , na hawana mamlaka ya kutupangia nini tunataka pumbavu zao hii ngoma ndo inaanza upya ,Tofauti na watu wengine Raisi Samia akiongea lolote kuhusu mkataba wa DP world litamfikia mkuu wa wa Dubai. Sasa tatizo ni nini?
1. Kwanza akisema mazuri tu itakuwa vigumu kwenda kwao tena na kurekebisha mkataba
2. Akisema mabaya ya mkataba wazi wazi watajitoa kwenye mkataba mzima kitu ambacho hawezi kufanya.
Hivyo marekebisho yatafanya na watu wa chini yake. Dubai wana utamaduni wa kifalme na huu utamaduni unawafanyai wamweke Raisi wetu kwenye level ya juu kama ufalme wao.
Hivyo ndiyo maana Rais Samia kafugwa mdomo maana akisema lolote ni tatizo.
ni kweli . Hata wengine wanapinga mkataba kutokana na bad experience ya hawa jamaa. Wako sadistic sana katika ku treat waafrikaMwarabu hajawahi kuwa na heshima kwa mtu mweusi.. Na ikiwepo ni ya bandia kwa maslahi binafsi
Eeeh nimepata wasiwasi
Tofauti na watu wengine Raisi Samia akiongea lolote kuhusu mkataba wa DP world litamfikia mkuu wa wa Dubai. Sasa tatizo ni nini?
1. Kwanza akisema mazuri tu itakuwa vigumu kwenda kwao tena na kurekebisha mkataba
2. Akisema mabaya ya mkataba wazi wazi watajitoa kwenye mkataba mzima kitu ambacho hawezi kufanya.
Hivyo marekebisho yatafanya na watu wa chini yake. Dubai wana utamaduni wa kifalme na huu utamaduni unawafanya wamweke Raisi wetu kwenye level ya juu kama ufalme wao.
Hivyo ndiyo maana Rais Samia kafugwa mdomo maana akisema lolote ni tatizo.
Kweli kabisaaa
Sio mwarabu pekee hata mzungu hana heshima kwa mtu mweusi bora japo kidogo wachinaMwarabu hajawahi kuwa na heshima kwa mtu mweusi.. Na ikiwepo ni ya bandia kwa maslahi binafsi
Wewe Ndio unamjua Mwarabu..kongore kwakoMwarabu hajawahi kuwa na heshima kwa mtu mweusi.. Na ikiwepo ni ya bandia kwa maslahi binafsi
Kiukweli mwarabu anaheshima kubwa kwa kiongozi mkubwa mwenye hadhi kama ya Rais wetuMwarabu hajawahi kuwa na heshima kwa mtu mweusi.. Na ikiwepo ni ya bandia kwa maslahi binafsi