Huenda sababu ya Rais Samia kukaa kimya ni hii hapa!

Anaweza kuongea na kwa siri. Mikataba yote ilikuwa siri.
 
Dubai wana utamaduni wa kifalme na huu utamaduni unawafanya wamweke Raisi wetu kwenye level ya juu kama ufalme wao.
Kwa ule mkataba, wametudharau sana na kutuona hatuna thamani ya kuwepo kwenye eneo ambalo Muumba Mbingu ametupatia.
Hawawezi kututoa, ila wanatufanya walinzi na watumwa wao na watawala wanakuwa wa wanyapara.
 
Kipaji, uwezo, utaalamu wa viongozi wetu ni kuuza nchi, kuingia mikataba mibovu, kukaa kimya.

Waarabu, wazungu, wachina wangekubali mkataba kama huu?
 
Dubai kitu gani na nchi yetu , sie sio waarabu, wanatakiwa karibishwa kwa biashara , na hawana mamlaka ya kutupangia nini tunataka pumbavu zao hii ngoma ndo inaanza upya ,

Yani unataka kuoa binti yangu basi nikubembeleze hutaki acha basi , watakuja wengine mbona tunajidhalilisha sana kama taifa, mwekezaji hawezi tupanda kichwani, hii nchi sio mali ya kifalme kama kwao pumbavu zao, mali asili zetu haziendi popote pale , na ni swala la mda hata uko loliondo wataondoka wapende wasinde ,stupid zao,
 
Mwarabu hajawahi kuwa na heshima kwa mtu mweusi.. Na ikiwepo ni ya bandia kwa maslahi binafsi
ni kweli . Hata wengine wanapinga mkataba kutokana na bad experience ya hawa jamaa. Wako sadistic sana katika ku treat waafrika
 
Who cares?
 
Mwarabu hajawahi kuwa na heshima kwa mtu mweusi.. Na ikiwepo ni ya bandia kwa maslahi binafsi
Sio mwarabu pekee hata mzungu hana heshima kwa mtu mweusi bora japo kidogo wachina
 
Ukitaka kuona vita vya Mwarabu Wewe mweusi jaribu kuoa kamwarabu,,unaweza fanikiwa Lakini hutavumilia kunyanyapaliwa..
 
Mwarabu hajawahi kuwa na heshima kwa mtu mweusi.. Na ikiwepo ni ya bandia kwa maslahi binafsi
Kiukweli mwarabu anaheshima kubwa kwa kiongozi mkubwa mwenye hadhi kama ya Rais wetu
 
Attachments

  • 20230826_214108.jpg
    107.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230827-141905.png
    231.6 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ