Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Lakini pia, huenda Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie rais mwanamke madhubuti zaidi duniani kwa sasa.
Hayumbishwi wala kutetereshwa na porojo au mashinikizo ya mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
Daima yuko imara kwenye nafasi yake ya uongozi na aliejizatiti zaidi katika kazi ya kuwatumikia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo endelevu bila kujali mirengo yao ya kisiasa.
Dr.Samia Suluhu Hassani ni darasa tosha la usikivu, ustahimilivu na subra miongoni mwa viongozi wengine wenye viapo mamlakani Africa.
Tanzania italindwa kwa nguvu na gaharama yoyote ile.
Mungu Ibariki Tanzania