Ndiye rais muoga kuliko wote kwa sasa.Lakini pia, huenda Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie rais mwanamke madhubuti zaidi duniani kwa sasa.
Hayumbishwi wala kutetereshwa na porojo au mashinikizo ya mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
Daima yuko imara kwenye nafasi yake ya uongozi na aliejizatiti zaidi katika kazi ya kuwatumikia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo endelevu bila kujali mirengo yao ya kisiasa.
Dr.Samia Suluhu Hassani ni darasa tosha la usikivu, ustahimilivu na subra miongoni mwa viongozi wengine wenye viapo mamlakani Africa.
Tanzania italindwa kwa nguvu na gaharama yoyote ile.
Mungu Ibariki Tanzania
Lakini pia, huenda Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie rais mwanamke madhubuti zaidi duniani kwa sasa.
Hayumbishwi wala kutetereshwa na porojo au mashinikizo ya mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
Daima yuko imara kwenye nafasi yake ya uongozi na aliejizatiti zaidi katika kazi ya kuwatumikia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo endelevu bila kujali mirengo yao ya kisiasa.
Dr.Samia Suluhu Hassani ni darasa tosha la usikivu, ustahimilivu na subra miongoni mwa viongozi wengine wenye viapo mamlakani Africa.
Tanzania italindwa kwa nguvu na gaharama yoyote ile.
Mungu Ibariki Tanzania
huna haja ya kubabaika kwa porojo na stori za pata potea gentleman,Ndiye rais muoga kuliko wote kwa sasa.
Aliogopa hata kushindana ndani ya Chama chake, akajipitisha. Akaona Lisu atakuwa kikwazo kwa kudai Reforms..akamkamata na kumbambikia kesi yauhaini haitoshi akamuogopa mpaka mpina, akamuengua then akabaki peke yake akajipa ushindi wa 99.9% na hapo baada ya kuogopa maandamano ya Gen Z, akawauwa hadi vichanga!
Hadi leo Anawaogopa Gen Z balaaa.Walimfanya akajiapishe kambi ya Jeshi na akisikia Gen Z wanaandamana basi anamwaga polisi wote barabarani na JWTZ wote wanashinda juani wamevaa kininja.😆

TakatakaLakini pia, huenda Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie rais mwanamke madhubuti zaidi duniani kwa sasa.
Hayumbishwi wala kutetereshwa na porojo au mashinikizo ya mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
Daima yuko imara kwenye nafasi yake ya uongozi na aliejizatiti zaidi katika kazi ya kuwatumikia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo endelevu bila kujali mirengo yao ya kisiasa.
Dr.Samia Suluhu Hassani ni darasa tosha la usikivu, ustahimilivu na subra miongoni mwa viongozi wengine wenye viapo mamlakani Africa.
Tanzania italindwa kwa nguvu na gaharama yoyote ile.
Mungu Ibariki Tanzania
magaidi, mamluki au maharamia yataendelea kusambaratishwa popote pale yatakapojitokeza kujaribu kupora au kuharibu miundombinu au mali za umma au binafsi.Na hajawahi kuua hata sisimizi, wanamuonea Sana mama wa watu hata huo ufisadi hajawahi kuufanya

Hatuko zama za Gizahuna haja ya kubabaika kwa porojo na stori za pata potea gentleman,
ukweli mtupu kwa kifupi sana kwenye ya hoja ya msingi, ukusaidie kukubadili fikra na mtazamo hasi ulionao dhidi ya uzushi unaojaribu kuuleta kwenye mjadala huu muhimu sana mezani.![]()
then?There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
Ingekuwa ndio hivyo usingekuwa unatumia vpn kuja kuleta hizi kamasi humu ndani.Lakini pia, huenda Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie rais mwanamke madhubuti zaidi duniani kwa sasa.
Hayumbishwi wala kutetereshwa na porojo au mashinikizo ya mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
Daima yuko imara kwenye nafasi yake ya uongozi na aliejizatiti zaidi katika kazi ya kuwatumikia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo endelevu bila kujali mirengo yao ya kisiasa.
Dr.Samia Suluhu Hassani ni darasa tosha la usikivu, ustahimilivu na subra miongoni mwa viongozi wengine wenye viapo mamlakani Africa.
Tanzania italindwa kwa nguvu na gaharama yoyote ile.
Mungu Ibariki Tanzania
sina haja ya kutumia vpn kwenye nchi huru hasa katika kueleza mambo ya msingi na ya maana kama hiliIngekuwa ndio hivyo usingekuwa unatumia vpn kuja kuleta hizi kamasi humu ndani.
Vijana siku hizi vichwa vina matope.

It's easier kusikiliza lakini kwa faida ya viziwi ni kwamba polisi wa Samia wanaendelea kufira watoto wadogo wa kiume kama ambavyo huyo Samia anavyowaagiza ili kuendelea kuikomoa Tanganyikaelezea kwa maandishi gentleman kwa faida ya wadau wasio na muda wa kuskiza porojo dentleman![]()
Gentleman,Hivi mtu mzima huenda una familia kabisa ila kutwa kucha kusifu tu, una utumamu kweli?
Mwanaume unasifu ukiamka, ukinywa chai, ukila mchana...unapata wapi nguvu za kufanya hivyo? Utakuwa mwanaume kamili kweli? Something is really wrong somewhere.
Samia hiki, samia kile, are you not tired?
Inafikirisha!
