Huenda Samia Suluhu Hassan ndie Rais mstahimilivu, shupavu na msikivu zaidi Afrika

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Lakini pia, huenda Dr.Samia Suluhu Hassan, ndie rais mwanamke madhubuti zaidi duniani kwa sasa.
Hayumbishwi wala kutetereshwa na porojo au mashinikizo ya mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

Daima yuko imara kwenye nafasi yake ya uongozi na aliejizatiti zaidi katika kazi ya kuwatumikia waTanzania wote na kuwaletea maendeleo endelevu bila kujali mirengo yao ya kisiasa.

Dr.Samia Suluhu Hassani ni darasa tosha la usikivu, ustahimilivu na subra miongoni mwa viongozi wengine wenye viapo mamlakani Africa.

Tanzania italindwa kwa nguvu na gaharama yoyote ile.

Mungu Ibariki Tanzania
 
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government Samia Suluhu hassan
 
October massacre ndio kipimo cha utu na ustahimilivu wake, arudishe miili ya ndugu zetu tukawahifadhi kwa heshima.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kula ignore
 
Ni kweli kabisa. Kwa mauaji yale bila kuwa na roho ngumu huwezi kuendelea kuongoza
 
 
Nadhani hakuna kazi ngumu hapa duniani km ya uchawa
Buku7 ni ndogo wawaongezee dau!
tuliza mihemko gentleman,
ukweli ni jambo linalokwera wengi sana but hatuna budi kuusema bila kificho
 
Ni kweli kabisa. Kwa mauaji yale bila kuwa na roho ngumu huwezi kuendelea kuongoza
maharamia na magaidi yote yanayopanga au kuharibu miuondombinu ya waTanzania yatasambaratishwa bila huru wala haya on the spot.

jiepushe na magenge ya kigaid tafadhali gentleman na ni muhimu sana kujifunza kuupokea ukweli bila kificho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…