Huenda Samia Suluhu Hassan ndie Rais mstahimilivu, shupavu na msikivu zaidi Afrika

Ndiye rais muoga kuliko wote kwa sasa.
Aliogopa hata kushindana ndani ya Chama chake, akajipitisha. Akaona Lisu atakuwa kikwazo kwa kudai Reforms..akamkamata na kumbambikia kesi yauhaini haitoshi akamuogopa mpaka mpina, akamuengua then akabaki peke yake akajipa ushindi wa 99.9% na hapo baada ya kuogopa maandamano ya Gen Z, akawauwa hadi vichanga!
Hadi leo Anawaogopa Gen Z balaaa.Walimfanya akajiapishe kambi ya Jeshi na akisikia Gen Z wanaandamana basi anamwaga polisi wote barabarani na JWTZ wote wanashinda juani wamevaa kininja.😆
 

Na hajawahi kuua hata sisimizi, wanamuonea Sana mama wa watu hata huo ufisadi hajawahi kuufanya
 
huna haja ya kubabaika kwa porojo na stori za pata potea gentleman,

ukweli mtupu kwa kifupi sana kwenye ya hoja ya msingi, ukusaidie kukubadili fikra na mtazamo hasi ulionao dhidi ya uzushi unaojaribu kuuleta kwenye mjadala huu muhimu sana mezani.
 
Takataka
 
Na hajawahi kuua hata sisimizi, wanamuonea Sana mama wa watu hata huo ufisadi hajawahi kuufanya
magaidi, mamluki au maharamia yataendelea kusambaratishwa popote pale yatakapojitokeza kujaribu kupora au kuharibu miundombinu au mali za umma au binafsi.

Daima,
Dr.Samia Suluhu Hassan ni kinara wa kulinda raia wake dhidi ya magaidi wa kuvuruga amni na kuharibu miundombinu
 
huna haja ya kubabaika kwa porojo na stori za pata potea gentleman,

ukweli mtupu kwa kifupi sana kwenye ya hoja ya msingi, ukusaidie kukubadili fikra na mtazamo hasi ulionao dhidi ya uzushi unaojaribu kuuleta kwenye mjadala huu muhimu sana mezani.
Hatuko zama za Giza
 
then?
 
Ingekuwa ndio hivyo usingekuwa unatumia vpn kuja kuleta hizi kamasi humu ndani.

Vijana siku hizi vichwa vina matope.
 
Ingekuwa ndio hivyo usingekuwa unatumia vpn kuja kuleta hizi kamasi humu ndani.

Vijana siku hizi vichwa vina matope.
sina haja ya kutumia vpn kwenye nchi huru hasa katika kueleza mambo ya msingi na ya maana kama hili
hao vichwa matope ndio pekee wenye kutumia vpn kwenye taifa ambalo hakuna haja ya kufanya hivyo
 
elezea kwa maandishi gentleman kwa faida ya wadau wasio na muda wa kuskiza porojo dentleman
It's easier kusikiliza lakini kwa faida ya viziwi ni kwamba polisi wa Samia wanaendelea kufira watoto wadogo wa kiume kama ambavyo huyo Samia anavyowaagiza ili kuendelea kuikomoa Tanganyika
 
Samuya ameweka historia duniani kuwa rais wa kwanza wa nchi pasipo kuwa na ridhaa ya wananchi, hakuchaguliwa na watz walio wengi!
 
Hivi mtu mzima huenda una familia kabisa ila kutwa kucha kusifu tu, una utumamu kweli?

Mwanaume unasifu ukiamka, ukinywa chai, ukila mchana...unapata wapi nguvu za kufanya hivyo? Utakuwa mwanaume kamili kweli? Something is really wrong somewhere.

Samia hiki, samia kile, are you not tired?

Inafikirisha!
 
Gentleman,
nani atakusifia mamluki lofa kama wewe mwenye mihemko ya kindezi namna hiyo?

labda manyumbu wenzio ndio wakusifie kwa porojo zako nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…