Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

Wanatuchongea ee wakati sisi tunataka ishushwe zaidi
 
Kwa mwaka wa pili mfululizo, Tanzania imetajwa kuwa ni Nchi ya kwanza Afrika Mashariki ambayo bei ya Bando zake za Internent ni nafuu kwa mujibu wa Takwimu zilizotolewa na Mtandao wa Utafiti wa Cable wa nchini Uingereza.

Kwenye ripoti hiyo yenye Takwimu za Dunia nzima ambazo zimekusanywa kuanzia December 08,2020 hadi February 25,2021 inaonesha kuwa Tanzania ina Bando rahisi ambayo ni USD 0.75 (Tsh. 1,742.81) kwa GB moja ikifuatiwa na Rwanda (USD 1.25), Uganda (USD 1.56) na Burundi (USD 2.10).

Kenya ilikuwa ya pili mwaka jana ambapo bando iligharimu USD 1.04 kwa kila GB lakini kwa mwaka huu gharama zimepanda na kufikia USD 2.25 .

Source #MillardAyoUPDATES

Rwanda na burundi wote wananunua internet kutoka tanzania: nchi zingine ni DRC, zambia na malawi
 
For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology research firm Cable.

The report, Worldwide Mobile Data Pricing 2021, reveals that Somalia is no longer offering the most affordable mobile internet in Africa, moving to third, as Sudan and Algeria take the first and second places respectively.

“In Sudan, the cost of mobile internet is $0.27, cheapest in Africa and fifth in the world. Algeria is second at $0.51 and Somalia third at $0.60. Tanzania has the cheapest data in East Africa at $0.75 for every gigabyte of data,” says the survey.

Excellent infrastructure​

The data collected and analysed between December 8, 2020 and February 25, 2021 shows that Tanzania is followed by Rwanda at $1.25, Uganda ($1.56) and Burundi ($2.10) while Kenya, which was second in East Africa last year charging $1.04, now charges $2.25 per gigabyte (GB).

Dan Howdle, consumer telecoms analyst at Cable said many countries with cheap data have excellent mobile and fixed broadband infrastructure, enabling providers to offer large amounts of data, and bring down price per gigabyte.

Others with less advanced broadband networks are heavily reliant on mobile data” he said.

Nigeria and South Africa, which command high internet traffic from its tech savvy population are charging $0.88 and $2.67 respectively.

Countries with long-established, ubiquitous 4G or new 5G infrastructure, the study points out, tend to fall towards the cheaper end of the table.

“This is due to the fact that mobile data plans have escalated far beyond the 1-10GB per month median, offering instead plans with caps in the hundreds of gigabytes, or even completely unlimited. The cost per gigabyte in these countries will tend therefore to be very low.”

Sjui kama uliwaza vema kuleta huu Uzi.
 
Hiyo 0.75$ ni sawa na madafu bei gani? inaweza kuwa inacheza roughly kwenye 1500/= japo GB moja kwenye mitandao mingi ni 2000/= hiyo itabidi uitumie kwa siku, ukitaka kutumia kwa wiki utalipia 14,000/= sasa hizi si ndio zile bei zililalamikiwa juzi?

Hapo hakuna hata dakika moja ya kuongea, ukitaka na dakika za kuongea kwa bei hiyo ujue watapunguza MB, kwangu naona bado gharama za internet Tz haziridhishi.
Gharama bado zipo juu... Na wanaposema cheap wajue inategemeana na nani amefanya survey... Si busara hata kidogo kulinganisha nchi na nchi...!

Msisitizo wetu upo pale pale. Wapunguze gharama za mabando!
Aione SSH kwenye faili...!!
 
Swala la commision usilichukulie ndio kama angle ya kuchomokea. Swala la commision nimekuchomekea kwa maksudi tu kukupima na kweli umeingia mzimamzima, nilijua tu huyu tayari hii hoja aliyoileta kaibeba nzima nzima kutoka kule alikoitolea ila hajui chochote kwa hiyo nikimtega kidogo tu lazima aingie mzima mzima. Sasa ona ulivyoifanya commision ndio kichaka cha kujifichia na kuitelekeza hoja uliyoileta mwenyewe.

Wewe stick kwenye hoja uliyoileta acha blah blah. Tatizo la watu kama ninyi hamjua kitu lakini much know hatari. Hivi hata unaelewa consumption ya data inakuwaje? Hivi unajua kwa nini data za mitandao mingine zinaisha mapema ilihali mitandao mingine unatumia mpaka unasahau? Hivi unajua boss wa facebook, instagram anapataje hela yake unapotumia hizo App? Hivi unajua nani anafaidika pale unapotumia data kwa kufungua website yeyote? Hivi unajua nani unamlipa unapokuwa au unapomiliki website? Anyway haya yote niliyoyataja ni irrelevant kwenye hii hoja yako, nimeyataja tu ili kukuweka sawa. Tafadhali tueleze kigezo cha data kuwa bei nafuu hapa Tanzania, hizo zingine unazozileta ni kichaka cha kutaka kuhalalisha kuwaibia watanzania.
Mkuu utasumbua kichwa na huyo jamaa ukiangalia tu Ni mnufaika wa hiyo mitandao kwa gharama kuwa juu. Anaeleza kulaumiwa kwa serikali Mara umasikini isiwe sababu. Mara kina bilget wanatengeza computer simu na vyitu kibao. Wakati yeye hatengenezi hata betri za sumu tu.alafu kelele nyingiii na ujuaji usiokuwa hata na maana
 
Suala la data, kwa uzoefu wangu nadhani mpaka naondoka nchini Tanzania ndiyo nchi yenye bei ya chini kuliko zote nilizowahi kutembelea kwa Africa. Africa kusini wana bei ya juu sana ya data, pia Kenya ila hawafikii SA, Uganda atleast more or less the same as TZ. Malalamiko yote niliyoyasikia hivi karibuni nadhani ni umasikini tu unatusumbua.
Mkuu ni kweli wengi wanaolalamika, ni haki yao kwakuwa labda hawajui kutokana na kutotembea!!nilikuwa DRC, bwana we tsh.700 unapata mb 50, kwa siki!! hakuna sms wala dakika za kuongea!!nilichoka !!wanaita MEGAA!!ukitaka sms, jiunge kivyake, ukitaka dk nazo hivyo hivyo!!hapa tsh.500, unapata mb 500?!!nasema kwa nilichokiuona congo kikija hapa simu zinatupwa kabisa, tatizo ni umasikini tu.
 
Internet is free sema wezi wanatunyonya tu
True the Internet is free but it is not free to access the Internet! Ni kama ukialikwa ikulu kwenye dhifa ya kitaifa, vyakula vilivyoandaliwa ni bure lakini jinsi ya kufika huko siyo bure bali itakugharimu! Hali kadhalika kwa Internet!
 
One gigabyte (1GB) of data costs $0.26 in India, compared to an average $6.66 in the UK and $12.37 in the US, finds a global analysis of mobile data prices by UK-based price comparison portal Cable.
- so United states Gb moja ni kama 25,oooTsh, but cha ajab united states has the best internet enterprenuers while tanzania has no internet enterprenuers! Hii nchi kiukweli inabidi turudi kwenye utumwa tu
Nchi ya Israel imekuwa namba moja Duniani kwa kutoa bei rahisi za Bando za Internent ambapo GB 1 inagharimu USD 0.05 (Tsh. 116.19), hii ni kwa mujibu wa Mtandao wa Cable wa Uingereza, kwenye tano bora ya Dunia ya bei rahisi ya Bando ipo pia Sudan (USD 0.27).
 
Mkuu utasumbua kichwa na huyo jamaa ukiangalia tu Ni mnufaika wa hiyo mitandao kwa gharama kuwa juu. Anaeleza kulaumiwa kwa serikali Mara umasikini isiwe sababu. Mara kina bilget wanatengeza computer simu na vyitu kibao. Wakati yeye hatengenezi hata betri za sumu tu.alafu kelele nyingiii na ujuaji usiokuwa hata na maana

duu
 
Back
Top Bottom