Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

Wanatuchongea ee wakati sisi tunataka ishushwe zaidi
 

Rwanda na burundi wote wananunua internet kutoka tanzania: nchi zingine ni DRC, zambia na malawi
 
Sjui kama uliwaza vema kuleta huu Uzi.
 
Gharama bado zipo juu... Na wanaposema cheap wajue inategemeana na nani amefanya survey... Si busara hata kidogo kulinganisha nchi na nchi...!

Msisitizo wetu upo pale pale. Wapunguze gharama za mabando!
Aione SSH kwenye faili...!!
 
Mkuu utasumbua kichwa na huyo jamaa ukiangalia tu Ni mnufaika wa hiyo mitandao kwa gharama kuwa juu. Anaeleza kulaumiwa kwa serikali Mara umasikini isiwe sababu. Mara kina bilget wanatengeza computer simu na vyitu kibao. Wakati yeye hatengenezi hata betri za sumu tu.alafu kelele nyingiii na ujuaji usiokuwa hata na maana
 
Mkuu ni kweli wengi wanaolalamika, ni haki yao kwakuwa labda hawajui kutokana na kutotembea!!nilikuwa DRC, bwana we tsh.700 unapata mb 50, kwa siki!! hakuna sms wala dakika za kuongea!!nilichoka !!wanaita MEGAA!!ukitaka sms, jiunge kivyake, ukitaka dk nazo hivyo hivyo!!hapa tsh.500, unapata mb 500?!!nasema kwa nilichokiuona congo kikija hapa simu zinatupwa kabisa, tatizo ni umasikini tu.
 
Internet is free sema wezi wanatunyonya tu
True the Internet is free but it is not free to access the Internet! Ni kama ukialikwa ikulu kwenye dhifa ya kitaifa, vyakula vilivyoandaliwa ni bure lakini jinsi ya kufika huko siyo bure bali itakugharimu! Hali kadhalika kwa Internet!
 
Nchi ya Israel imekuwa namba moja Duniani kwa kutoa bei rahisi za Bando za Internent ambapo GB 1 inagharimu USD 0.05 (Tsh. 116.19), hii ni kwa mujibu wa Mtandao wa Cable wa Uingereza, kwenye tano bora ya Dunia ya bei rahisi ya Bando ipo pia Sudan (USD 0.27).
 

duu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…