Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Tanzania kuna wabantu ambao ndiyo wengi.
Kuna wa Nilotics, wamasai na wajaluo.
Kuna wa San kama wabushmen, hawa wasandawe na wahadzabe. Hawa ndiyo wenye nchi yao.
Kuna wakush kama wa Iraq (wambulu) nasikia na wanyaturu na wasambaa nao ni wakush.
Nchi zingine kama Malawi, DRC, au Zambia ni watu wa aina moja tu. Unakuta wabantu mtindo mmoja. Nchi nzima wanafanana.
Mchi gani ina watu wa aina nyingi kuliko Tz. Watu ambao wameishi mingi nyuma.