Nasikia wasambaa na wanyaturu ni jamii moja. Walitengana kwa namna fulani. Hata wasambaa wengi ni weupe sana.Ikiwa WASAMBAA umewaweka kwenye kundi la jamii ya KUSHITIC, inabidi urudie kuisoma vizuri nchi yako na jamii zinazotokana na makabila yake
Jaluo ni lake nilotes pamoja la lang'o wa uganda kabila ya oboteKumbe wajaluo ni nilotics? Mbona huwa wana maumbo ya kibantu
Wasambaa wazigua na wabondei ni koo moja ambao tamaduni zao zinafanana na hata luga zao zinafanana tena wapo kwenye kundi za jamii za KIBANTU.Nasikia wasambaa na wanyaturu ni jamii moja. Walitengana kwa namna fulani. Hata wasambaa wengi ni weupe sana.
Ume google vizuri? Etheopia,Nigeria Misri(Nchi ya kale zaidi Africa).Tanzania kuna wabantu ambao ndiyo wengi.
Kuna wa Nilotics, wamasai na wajaluo.
Kuna wa San kama wabushmen, hawa wasandawe na wahadzabe. Hawa ndiyo wenye nchi yao.
Kuna wakush kama wa Iraq (wambulu) nasikia na wanyaturu na wasambaa nao ni wakush.
Nchi zingine kama Malawi, DRC, au Zambia ni watu wa aina moja tu. Unakuta wabantu mtindo mmoja. Nchi nzima wanafanana.
Mchi gani ina watu wa aina nyingi kuliko Tz. Watu ambao wameishi mingi nyuma.
Bantu people ndio watu wengi zaidi Africa na wame mix damu na kila watu kuanzia kush, San,Egyption,nilote nk.Jaluo ni lake nilotes pamoja la lang'o wa uganda kabila ya obote
Wasambaa wazigua na wabondei ni koo moja ambao tamaduni zao zinafanana na hata luga zao zinafanana tena wapo kwenye kundi za jamii za KIBANTU.
Mkuu Mbeya kuna Baruch(Waburushi) walihamia kutoka Iran na kupewa eneo na chifu wa usangu.Nchi hadi ina wahindi ambao nao ni watanzania, any way cha kufurahia wote tuna furaha.
Wasambaa wazigua na wabondei ni koo moja ambao tamaduni zao zinafanana na hata luga zao zinafanana tena wapo kwenye kundi za jamii za KIBANTU.
Sema wapare na Wasambaa jamii hizi mbili zinakaa pamoja, maeneo ya Lushoto huko milimani ila sio jamii moja.Wapare na wasambaa pia jamii moja
Hawatufikii. Nigeria kusini kuna wabantu na wale juu kule wafulani nafikiri ni Nilotics. Ethiopia ni kam ina wabantu, wakushi, na wa nilo(sina hakika). Hayo matatu ni mataifa yenye watu wengi zidi Africa. Lakini hakuna diversity.Ume google vizuri? Etheopia,Nigeria Misri(Nchi ya kale zaidi Africa).
Hata lugha ya wanyaturu ni kibantu lakini wao inasemekana siyo wabantu. Lughaa inaweza badilika baada ya miaka mingi.Wasambaa wazigua na wabondei ni koo moja ambao tamaduni zao zinafanana na hata luga zao zinafanana tena wapo kwenye kundi za jamii za KIBANTU.