Huenda Tanzania ndiyo nchi yenye aina nyingi ya watu katika Afrika

hivi inawezekanaje waggosi wasiwe wabantu lakini wapare ni wabantu
 
Ikiwa WASAMBAA umewaweka kwenye kundi la jamii ya KUSHITIC, inabidi urudie kuisoma vizuri nchi yako na jamii zinazotokana na makabila yake
Jamii ya wasambaa, kabila la WAMBUGU ndio watu kutoka ethiopia huko. Ni weupe na wazuri mnoo.
Nywele zao ni maboya maboya kama warabu.
(hiyo jamii ndio aliowalenga mleta mada).
 
May be kweli
 
Hawatufikii. Nigeria kusini kuna wabantu na wale juu kule wafulani nafikiri ni Nilotics. Ethiopia ni kam ina wabantu, wakushi, na wa nilo(sina hakika). Hayo matatu ni mataifa yenye watu wengi zidi Africa. Lakini hakuna diversity.
Vipi kuhusu misri
 
Hata lugha ya wanyaturu ni kibantu lakini wao inasemekana siyo wabantu. Lughaa inaweza badilika baada ya miaka mingi.
Wanyatiru kwa kuwaangalia tu wana damu ya kibantu asilimia fulani.
Waafrika wote babu yao ni mmoja.
 
Kuna wachina kariakoo😅😅😅 na waburushi Tabora kule mboka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…