Huenda tone tone mpya ya CHADEMA ikaanza tena rasmi mwanzoni mwa mwezi October 2026.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Je,
utachangia bila kujulishwa ile tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?

Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,

unadhani changamoto hua ni nini au hua wanakosea wapi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Attachments

  • 20260711_201740.jpg
    20260711_201740.jpg
    39.3 KB · Views: 9
Je,
utachangia bila kujulishwa tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?

Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,

unadhani changamoto hua ni nini au hua wanakosea wapi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
You are an idiot mother faka
 
Je,
utachangia bila kujulishwa ile tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?

Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,

unadhani changamoto hua ni nini au hua wanakosea wapi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania

Chadema kwasasa ni matonya wa kitaasisi

Ukweli hawana pesa ya kuendesha chama

Hata safari za mikoani yumkin zikawashinda Mafuta yapo juu sana kuendesha magari zaidi ya Moja
Kujimwambafai kimtindo!!

WAZO la No reform No Election
Wapangaji waliwaza upande mmoja tu!!!

hawakuwaza
Ikiwa njama zao zitashindwa chama kitaendeshwaje kwa miaka 4 pasi na ruzuku yoyote🤔🤔🤔
 
Chadema kwasasa ni matonya wa kitaasisi

Ukweli hawana pesa ya kuendesha chama

Hata safari za mikoani yumkin zikawashinda Mafuta yapo juu sana kuendesha magari zaidi ya Moja
Kujimwambafai kimtindo!!

WAZO la No reform No election
Wapangaji waliwaza upande mmoja tu!!!

hawakuwaza
Ikiwa njama zao zitashindwa chama kitaendeshwaje kwa miaka 4 pasi na ruzuku yoyote🤔🤔🤔
uko sahihi gentleman,

na ukata wa pesa za kuendesha chama unaoendelea pale Chadema, unaweza kuwafarakanisha mno viongozi wa kitaifa, kwasababu hata zile kidogo wanazopata kila kiongozi wa kitaifa anazikodolea macho 🐒
 
Mimi ntachangia. Je Nchimbi yuko wapi gentleman?
Yes,
ni muhimu sana kuchangia gentleman kwasababu hata kama zinaliwa na heche kibinafsi na shughuli za chadema kukwama, inakua ni sawa tu, right?🐒
 
Yes, it's right. Je Nchimbi yuko wapi? Mbona hunijibu hili swali?
 
hayo mengine si uandikie uzi mahususi jukwaani gentleman bila kujaribu kuhamisha mjadala mahususi uliopo mezani na itapendeza zaidi?🐒
 
Mbona jibu ni rahisi sana bila kuhamisha mjadala. Sema yuko kwake, hotelini au sijui. Then mjadala unaendelea vizuri tu
 
Back
Top Bottom