Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #41
mbona mkali sana kama hulalamiki gentleman?🐒Acha kuandika vitu ambavyo havipo, au umeishiwa point? Nani umemsikia analalamika? Tone to tone tunachangia tu wala usiwe na wasiwasi wewe pambana na kujua bwanyenye wako yuko wapi. Ukicheza utakufa njaa labda uwahi haraka kuwa chawa wa mtu mwingine.