Huenda tone tone mpya ya CHADEMA ikaanza tena rasmi mwanzoni mwa mwezi October 2026.

Je,
utachangia bila kujulishwa ile tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?

Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,

unadhani changamoto hua ni nini au hua wanakosea wapi?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Pilipili usiyo ila inakuwashia nini?
 
Mbona jibu ni rahisi sana bila kuhamisha mjadala. Sema yuko kwake, hotelini au sijui. Then mjadala unaendelea vizuri tu
bado,
nashauri mambo yasiyohusiana na hoja mahususi mezani yaandikiwe uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Yaani nikufungulie uzi kabisa kukuuliza Nchimbi yuko wapi? That's madness. Pole sana kwa hili najua hukulitegemea. Jifunze sasa kuwa kazi ya uchawa siyo ya kuamini sana. Pesa za uchawa kwa Nchimbi nani atakuwa anakupa sasa?
 
Gentleman,
tone tone iliyopita hukuchangia hata shilingi mia moja why?
Vip hii inayokuja October, utachangia?

hili sasa nakupa darasa tu kidogo gentleman,
politics is dynamic in nature, don't be confused by inevitable waves in political sphere.

changia tone tone ya chadema kwa maendeleo binafsi ya heche na familia yake kiuchumi 🐒
 
Hapo juu nilishakuambia kuwa kama itakuwepo basi mimi nitachangia. " Politics is dynamic in nature". Meaning na wewe unabadilika nayo. Akiondoka Nchimbi utafanya uchawa hata kwa Bashite.
 
ni vizuri kufahamu kwamba siasa ni maisha na siasa ni sayansi inayobadilika kila uchwao,

na kama mtaalamu mwandamizi katika siasa, huwezi kua confused na mabadiliko ya kisiasa ambayo hayaepukiki in nature globally, unless hujui kitu kuhusu siasa,
vinginevyo utakua kama baadhi ya wasusa uchaguzi tu wanavyoteseka kisaikolojia hivi sasa baada ya kubebwa ufala wa kifikra,eti kususia uchaguzi ndio siasa 🤣
 
Kususia uchaguzi lilikuwa ni jambo sahihi kabisa, na mpaka sasa bado ni sahihi. Huwezi shiriki uchaguzi katika mazingira ambayo chama tawala ndiyo wanasimamia kila kitu. Huko ni kupoteza muda. Chaguzi zilizopita tulishuhudia Ccm wakijipa ushindi kila sehemu. Kuepuka huo ujinga ndiyo mwanzo wa No reforms no Election ilipoanzia. Cdm wasishiriki mpaka mabadiliko yafanyike. Naomba Cdm msiniangushe kama Nchimbi aliyokuangusha.
 
kulikoni sasa hivi sasa mnateseka kisaikolojia hadi kufikia mahali mngomea hata kuchangia tone tone kwa manufaa ya chama chenu?

mnamlaumu na kumkasirikia nani sasa kwa mfano na maamuzi yalikua ni yenu?🤣
 
Acha kuandika vitu ambavyo havipo, au umeishiwa point? Nani umemsikia analalamika? Tone to tone tunachangia tu wala usiwe na wasiwasi wewe pambana na kujua bwanyenye wako yuko wapi. Ukicheza utakufa njaa labda uwahi haraka kuwa chawa wa mtu mwingine.
 
Hivi nikimtolea mtu michango, hata wewe na michepuko yako, ya nini kujua zinatumikaje Kama kutoa ni ni Hiari, Usambe sio utajili?
kwamba jamaa kaomba umchangie pesa kidogo akanunue dawa kwakua anaugua, halafu unampatia kisha ananunua kisungura na kukifakamia mbele yako huku anakutazama kwa tabasamu.

hii ni sawa kweli gentleman?🐒
 
Ndio ni sawa.. kuna kitu inaitwa change of circumstances, kisungura pia ni dawa... kina ubaya gani? kinatengenezwa, kinalipa kodi na hata wewe unafaidika nacho hata kama hukinywi... taabu iki wapi? acha kuwanyanyapaa wanywaji wa visungura...
 
ok. :pedroP:
 
Back
Top Bottom