You are an idiot mother fakaJe,
utachangia bila kujulishwa tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?
Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,
unadhani changamoto hua ni nini au hua wanakosea wapi?π
Mungu Ibariki Tanzania
Zaidi ya uchawa huna hoja. NCHIMBI aliyekuwa anakupelekea moto unajua alipo?just relax gentleman,
hakuna haja ya mihemko dhidi ya hoja mahususi mezani.
utachangia au huchangii kabisa?π
Je,
utachangia bila kujulishwa ile tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?
Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,
unadhani changamoto hua ni nini au hua wanakosea wapi?π
Mungu Ibariki Tanzania
uko sahihi gentleman,Chadema kwasasa ni matonya wa kitaasisi
Ukweli hawana pesa ya kuendesha chama
Hata safari za mikoani yumkin zikawashinda Mafuta yapo juu sana kuendesha magari zaidi ya Moja
Kujimwambafai kimtindo!!
WAZO la No reform No election
Wapangaji waliwaza upande mmoja tu!!!
hawakuwaza
Ikiwa njama zao zitashindwa chama kitaendeshwaje kwa miaka 4 pasi na ruzuku yoyoteπ€π€π€
Mimi ntachangia. Je Nchimbi yuko wapi gentleman?unamaanisha kwamba tone tone ndio mkombozi wa kiuchumi kwa viongozi wa chadema taifa, right gentleman?π
Yes, it's right. Je Nchimbi yuko wapi? Mbona hunijibu hili swali?Yes,
ni muhimu sana kuchangia gentleman kwasababu hata kama zinaliwa na heche kibinafsi na shughuli za chadema kukwama, inakua ni sawa tu, right?π
Mimi ntachangia. Je Nchimbi yuko wapi gentleman?
Ndiyo mkuu bado wazo lipo. Je Nchimbi yuko wapi?Chadema kwasasa ipo chini ya SHEMEJI
vip kwako bado wazo la Ukombozi lipo ??
Mbona jibu ni rahisi sana bila kuhamisha mjadala. Sema yuko kwake, hotelini au sijui. Then mjadala unaendelea vizuri tuhayo mengine si uandikie uzi mahususi jukwaani gentleman bila kujaribu kuhamisha mjadala mahususi uliopo mezani na itapendeza zaidi?π