mbona mkali sana kama hulalamiki gentleman?πAcha kuandika vitu ambavyo havipo, au umeishiwa point? Nani umemsikia analalamika? Tone to tone tunachangia tu wala usiwe na wasiwasi wewe pambana na kujua bwanyenye wako yuko wapi. Ukicheza utakufa njaa labda uwahi haraka kuwa chawa wa mtu mwingine.
Wewe ninapo ishi pa nini mkuu?unaishi wap?π