Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Inasemekana,
barua inayelezea kinagaubaga sababu mahususi za msingi za kuahirishwa kwa uchaguzi huo wa ndani Chadema, tayari imewasilishwa na kupokelewa kwenye taasisi mahususi, inayohusika na masuala ya vyama vya siasa nchini.
Haijafahamika bado ikiwa wajumbe wahusika wa uchaguzi huo wa nafasi za ngazi ya taifa wamejulishwa juu ya taarifa hiyo muhimu ama laa.
Ustahimilivu na subra ni muhimu sana katika mambo haya. Huenda taarifa rasmi ikatolewa kwenye kikao maalumu au kwa njia ya mtandao na press conference.
Kama mdau wa siasa za Tanzania,
Una maoni gani ikiwa uchaguzi huo wa ndani wa Chadema, utaahirishwa mpaka baada ya uchaguzi mkuu wa Oct 2025?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.