Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mambo ya Chadema yanafanywa na wanaChadema wenyewe bila mbambamba yoyote,Acha ramli chonganishi,ila najua hilo linawezekama kwa maslahi ya wanakijani na mwandishi na wake anaweza kuwa msajili.
Hata sacco ni Chama 😂😂Chama ama SaCCO
Wewe naye hujielewi.Ina maana mbo we awe mwenyekiti mpaka kufa kwake? Aache dharau,kuna watu wana akili na uwezo mzuri kuliko yeye,apishe.Ikiwezekana asichukue form ya kugombea uenyekiti kabisa.Hii itampa heshima zaidi.otherwise ana maslahi binafsi na CHADEMANadhani hii itakuwa bonge la move kwasababu kuu mbili zifuatazo.
Mosi Lissu ni aina ya binadamu ambao ujifikiria yeye kwanza.Hana muda wa kuwaza juu ya mustakabali wa chama ambacho yeye ni mwanachama na kiongozi.
Mheshimiwa Lissu nimemsikia mara kadhaa akikibagaza chama ungefikiri yeye si kiongozi kabisa.Kwake yeye kuleta vurugu, kuwanyonyonyeza viongozi wenzake ndio siasa anazozipenda.
Pili Mheshimiwa Mbowe mara kadhaa amekuwa akijaribu kuonyesha hana mgogoro na Mheshimiwa Lissu.Hali ni tofauti kabisa Mheshimiwa Lissu anapojitokeza katika hadhara yoyote.
Mwisho Mheshimiwa Lissu ni msomi lakini kanyimwa hekima,busara na subra.
Hata kama utasema ni siiyuuefu ya Leprofesorer wa buguruni?Lisu ni ACT eeh 🐒
Suresiasa ni sayansi ya mipango sio makelele na mdomo 🐒
Ujumbe mwingine ni wa walengwa mahsusi kama wewe Choice,Comte na rafiki zenu unaweza usiwe na manufaa kwa wengine.Jieleze vizuri kwa faida ya wadau tafadhali gentleman 🐒
Gentleman,Wewe naye hujielewi.Ina maana mbo we awe mwenyekiti mpaka kufa kwake? Aache dharau,kuna watu wana akili na uwezo mzuri kuliko yeye,apishe.Ikiwezekana asichukue form ya kugombea uenyekiti kabisa.Hii itampa heshima zaidi.otherwise ana maslahi binafsi na CHADEMA
mimi ndie mwenyekiti wa mjadala huu, lazma wadau waweze kuelewa maudhui unayoyaweke ili hatimae twende pamoja,Ujumbe mwingine ni wa walengwa mahsusi kama wewe Choice,Comte na rafiki zenu unaweza usiwe na manufaa kwa wengine.
Ya chadema.Atabaki atabaki na robo ya nyama au nini gentleman?🐒
Hapana. Chadema inahutaji mtu kama Lissu au Heche. Mbowe amefanya CDM imepoa sana na imepoteza muelekeo. Mbowe ni mzee wa kuridhiana sana na CCM. Inatakiwa mtu anaye wakazia sana CCM.mi nadhani ajitikeze mgombea uenyekiti fresh uncompromised ili kuunganisha chadema. Lisu na Mbowe waenguliwe 🐒