Tetesi: Huenda uchaguzi wa CHADEMA wa taifa ukaahirishwa hadi baada ya uchaguzi mkuu october 2025

Tetesi: Huenda uchaguzi wa CHADEMA wa taifa ukaahirishwa hadi baada ya uchaguzi mkuu october 2025

Hapana. Chadema inahutaji mtu kama Lissu au Heche. Mbowe amefanya CDM imepoa sana na imepoteza muelekeo. Mbowe ni mzee wa kuridhiana sana na CCM. Inatakiwa mtu anaye wakazia sana CCM.
ndiyo maana nasema lisu na Mbowe wakae pembeni aje mtu mwingine kuliunganisha chadema 🐒
 
Acha uzushi. Kamati Kuu itakaa Leo na kutoa tarehe ya uchaguzi wa Kanda zilizobaki na Uchaguzi wa Taifa.
Just relax,
na ufuatilie kwa umakini mkubwa kikao hicho muhimu na matokeo yake gentleman,

hii ni agenda nzito mno 🐒
 
Katiba inaruhusu uchaguzi kusogezwa mbele Hadi nwakani.
 
Back
Top Bottom