Tetesi: Huenda uchaguzi wa CHADEMA wa taifa ukaahirishwa hadi baada ya uchaguzi mkuu october 2025

Acha ramli chonganishi,ila najua hilo linawezekama kwa maslahi ya wanakijani na mwandishi na wake anaweza kuwa msajili.
mambo ya Chadema yanafanywa na wanaChadema wenyewe bila mbambamba yoyote,

huna haja kubabaika na kuweweseka, hiyo ni sehemu ya demokrasia πŸ’
 
Wewe naye hujielewi.Ina maana mbo we awe mwenyekiti mpaka kufa kwake? Aache dharau,kuna watu wana akili na uwezo mzuri kuliko yeye,apishe.Ikiwezekana asichukue form ya kugombea uenyekiti kabisa.Hii itampa heshima zaidi.otherwise ana maslahi binafsi na CHADEMA
 
Gentleman,
itampa heshima gani wakati mnavunjia heshima kwa muhemko kama uliyonayo, Lakini pia mnamtukana na kumshutumu kwa kejeli na fedheha hadharani kwa mambo ya uzushi na uongo?πŸ’
 
Ujumbe mwingine ni wa walengwa mahsusi kama wewe Choice,Comte na rafiki zenu unaweza usiwe na manufaa kwa wengine.
mimi ndie mwenyekiti wa mjadala huu, lazma wadau waweze kuelewa maudhui unayoyaweke ili hatimae twende pamoja,

sio kwa ubaya Lakini gentleman πŸ’
 
mi nadhani ajitikeze mgombea uenyekiti fresh uncompromised ili kuunganisha chadema. Lisu na Mbowe waenguliwe πŸ’
Hapana. Chadema inahutaji mtu kama Lissu au Heche. Mbowe amefanya CDM imepoa sana na imepoteza muelekeo. Mbowe ni mzee wa kuridhiana sana na CCM. Inatakiwa mtu anaye wakazia sana CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…