Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Dec 14, 2024 Thread starter #41 Smart911 said: Ngoja tuone... Cc: Mahondaw Click to expand... ni muhimu sana π
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Dec 14, 2024 Thread starter #42 Full Blood Picture said: Hapana. Chadema inahutaji mtu kama Lissu au Heche. Mbowe amefanya CDM imepoa sana na imepoteza muelekeo. Mbowe ni mzee wa kuridhiana sana na CCM. Inatakiwa mtu anaye wakazia sana CCM. Click to expand... ndiyo maana nasema lisu na Mbowe wakae pembeni aje mtu mwingine kuliunganisha chadema π
Full Blood Picture said: Hapana. Chadema inahutaji mtu kama Lissu au Heche. Mbowe amefanya CDM imepoa sana na imepoteza muelekeo. Mbowe ni mzee wa kuridhiana sana na CCM. Inatakiwa mtu anaye wakazia sana CCM. Click to expand... ndiyo maana nasema lisu na Mbowe wakae pembeni aje mtu mwingine kuliunganisha chadema π
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Dec 14, 2024 #43 Acha uzushi. Kamati Kuu itakaa Leo na kutoa tarehe ya uchaguzi wa Kanda zilizobaki na Uchaguzi wa Taifa.
Acha uzushi. Kamati Kuu itakaa Leo na kutoa tarehe ya uchaguzi wa Kanda zilizobaki na Uchaguzi wa Taifa.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Dec 14, 2024 Thread starter #44 econonist said: Acha uzushi. Kamati Kuu itakaa Leo na kutoa tarehe ya uchaguzi wa Kanda zilizobaki na Uchaguzi wa Taifa. Click to expand... Just relax, na ufuatilie kwa umakini mkubwa kikao hicho muhimu na matokeo yake gentleman, hii ni agenda nzito mno π
econonist said: Acha uzushi. Kamati Kuu itakaa Leo na kutoa tarehe ya uchaguzi wa Kanda zilizobaki na Uchaguzi wa Taifa. Click to expand... Just relax, na ufuatilie kwa umakini mkubwa kikao hicho muhimu na matokeo yake gentleman, hii ni agenda nzito mno π
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Dec 14, 2024 #45 Tlaatlaah said: mi nadhani ajitikeze mgombea uenyekiti fresh uncompromised ili kuunganisha chadema. Lisu na Mbowe waenguliwe π Click to expand... Yale marisasi hayakuweza ku m compromise iwe maneno yako?
Tlaatlaah said: mi nadhani ajitikeze mgombea uenyekiti fresh uncompromised ili kuunganisha chadema. Lisu na Mbowe waenguliwe π Click to expand... Yale marisasi hayakuweza ku m compromise iwe maneno yako?
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Dec 14, 2024 Thread starter #46 Bengal said: Yale marisasi hayakuweza ku m compromise iwe maneno yako? Click to expand... unadhani kuna simpathy tena ata gain kwa kufanya hiyo kama sera ya kuombea kura?π€£
Bengal said: Yale marisasi hayakuweza ku m compromise iwe maneno yako? Click to expand... unadhani kuna simpathy tena ata gain kwa kufanya hiyo kama sera ya kuombea kura?π€£
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Dec 14, 2024 #47 Katiba inaruhusu uchaguzi kusogezwa mbele Hadi nwakani.