Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Dah[emoji23][emoji23]Ni rahisi sana pale unapokuwa na stress au ukiwa nnzwi[emoji23] Utoto raha sana[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah[emoji23][emoji23]Ni rahisi sana pale unapokuwa na stress au ukiwa nnzwi[emoji23] Utoto raha sana[emoji23]
Ila bado nahisi unacheza na I'd zako hapa, ngoja nianze ku zoom mwandiko[emoji23][emoji23]Ni rahisi sana pale unapokuwa na stress au ukiwa nnzwi[emoji23] Utoto raha sana[emoji23]
😂😂😂Kwahiyo waliokutongoza kwa Id hiyo ya rose ulikua ubawakubalia au 😂😂
[emoji23][emoji23]Kwamba umem cc ukiamini kuwa atakuja kukanusha habari hizi? [emoji23] Ndo mimi huyu huyu Storyteller. Hio nafsi yake imekwisha toweka kwa mwili wangu
Moderator waje kuunganisha hizo ID zako,[emoji23][emoji23]Kwamba umem cc ukiamini kuwa atakuja kukanusha habari hizi? [emoji23] Ndo mimi huyu huyu Storyteller. Hio nafsi yake imekwisha toweka kwa mwili wangu
😂😂😂[emoji23][emoji23]Kwamba umem cc ukiamini kuwa atakuja kukanusha habari hizi? [emoji23] Ndo mimi huyu huyu Storyteller. Hio nafsi yake imekwisha toweka kwa mwili wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah, mkuu, wewe ni mkatili kupita maelezo[emoji23] Sasa huyo binti wamuunge afanye nini kwenye ID yangu? Si atanishushia heshima humu na ndaniModerator waje kuunganisha hizo ID zako,
We mzee pori Ushimen usinambie uli lilitongoza Hilo dume🤔😂😆Aiseeee.....🤔
Mdomo wangu umebaki wazi....🙊
@roselyn2Habari za wakati huu wakuu,
Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa mlio wengi mtachungulia kwa profile ili kuona lile neno "joined Nov 2022", JF nimeifahamu kwa zaidi ya miaka kadhaa iliyopita
Mbali na ID ya Melki the Storyteller ,pia nina ID mama ambayo sitoiweka wazi kwa miaka hii, japokuwa ni ID kubwa na pendwa ambayo inatema madini yenye mantiki na yenye kukubalika. Katika ID hiyo nimeishi maisha yasiyo halisi kwa 100% na hakuna mtu anaweza / ataweza shitukia. Niwashukuru kwa kuniheshimisha kupitia hiyo ID
Je, The Storyteller wetu ana IDs nyingine za ziada mbali na hizo mbili tajwa hapo juu?
Jibu ni HAPANA. Lakini kwa kipindi cha nyuma nimewahi kuwa nazo kadhaa. Ndani ya JamiiForums nimeishi maisha ya uzee, ujana, usomi, ushamba, utoto, michezo, uganga, siasa n.k
Sometimes niliunda uzi na kuanza kuchangia mwenyewe huku nikibishana na kujitukana kwa ID hii na kusuluhisha kwa ID nyingine, lengo ni kusogeza uzi na kuufanya uzi kupamba moto
Niwaombe mniwie radhi kwa utoto nilioufanya kipindi cha nyuma, lakini sina budi kuuweka wazi siku ya leo
a) izo biz Hii ilikuwa ID yangu pendwa niliyoikubali kupita maelezo. Sikuwahi pitwa na tukio nisilielezee ndani ya ID hii. Nilifanikiwa kuunda nyuzi nyingi sana zenye mantiki na zisizo na mantiki ndani ya ID hii. Nikiachana na ID hii baada ya kuona wanachama wameanza kuignore post zangu na kudhani huenda zikawa ni chai, kitu ambacho sio kweli
View attachment 2618355
ID za karan lutha na wamatukio zilishika hatamu baada ya ID ya izo biz kususwa. Karan Lutha alitumika kuleta visa "serious" na hoja za msingi ambazo zilihitaji utatuzi makinifu ambazo kama zingewekwa kwenye ID ya izo biz zingekuwa ignored
View attachment 2618358
ID ya Wamatukio ilikuwa ni maalumu kwa ajili ya Jokes na mikasa ya kuchekesha. Nahisi ni ID iliyokuwa pendwa kulinganishwa na izo biz ama karan lutha
View attachment 2618360
Tukiachilia mbali na IDs tajwa hapo juu, ID ya roselyn2 ilikuwa ni ID yangu pia. Hii niliitumia kwa ajili ya attention pamoja na changamsha kijiwe, japo kuna watu wachache walishtukia pasi na uhakikaView attachment 2618362
Baada ya kukomaa kifikra na kiakili, niliamua kuzichinjilia mbali ID hizi kwa namna ambayo ninaifahamu mimi i.e kwa IT ndogo niliyonayo kumkichwa
Nimeona ni vyema kuja kutubia makosa yangu hapa na kwa wakati huu. Kwa wale wote ambao niliwakwaza kupitia ID zangu, naombeni tusameheane na tuendeleze jukumu la kulijenga taifa
Narudi kwa ushuhuda zaidi...
Koromeo la chuma ni ID yko piaHapana mkuu, nimeamua kusarenda. Naahidi kubadilika. Nitabaki na ID mbili tu mkuu
hahahahah! Umeishtukia nini?Koromeo la chuma ni ID yko pia
Vipi ulivyo kuwa una nihadithia, jinsi mlivyo kuwa mna kulana jf ya zamani😂😂Tangu nijiunge hapa Jf, sijawahi kuzoza yeyote humu ndani walahi...
[emoji23][emoji23][emoji23]Usijali mkuu. Kuna ID X imenikorofisha mimi ID mkuu[emoji23] Masaa machache yajayo naiumbuaTunasubili uoneshe hizo IDs nyingine zilizobaki kama ulivyoahidi
zipo ngapi?Na kweli mkuu. Najihisi huru sasa ingawa bado sijamaliza kuorodhesha ID zangu zote