Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Umaskini wa nchi shida sio viongozi tu! Hata wananchi tuna pigo za ajabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23] Hapa ningekuwa na ID zangu za kazi. Karan lutha angeanza kukupopoa. Halafu izo biz angeungana na wewe kujibu mashambulizi

Wamatukio angekuwa analiamsha tu pale anapoona kama mnaenda kujisahaulisha

Roselyn2 angewapatanisha PM, kisha muanze kumtongoza. Na kila mtu angesindikiza muamala, mmoja muamala sahihi, mwingine muamala wa mchongo
 
Ulikuwa na muda wa kupoteza..
 
That’s not a Childish [emoji1578] it’s a seriously Mental Health Issue[emoji205]
[emoji23][emoji23] Hapa ningekuwa na ID zangu za kazi. Karan lutha angeanza kukupopoa. Halafu izo biz angeungana na wewe kujibu mashambulizi

Wamatukio angekuwa analiamsha tu pale anapoona kama mnaenda kujisahaulisha

Roselyn2 angewapatanisha PM, kisha muanze kumtongoza. Na kila mtu angesindikiza muamala, mmoja muamala sahihi, mwingine muamala wa mchongo
 
Wakati unatongozwa as rosy ulikua unajisikia[emoji23]
[emoji23][emoji23]Kuna Sister mmoja nilimuachia PM ili afanye yake, japo anadai zilimzidia. Zingine aliziweka Pending. Hata ID yangu ya izo biz imewahi kumtongoza roselyn2

Kazi yangu ilikuwa ni kuunda nyuzi tu, bila kusahau maneno kama "kweli tena.." na tu-emoji ili kuwaaminisha watu
 
Eti kabinti kasiko na hatia[emoji23][emoji23] Nimecheka sana aisee
 
Hili ni fundisho kubwa mno kwa wale tongoza tongozaπŸ˜‚πŸ˜‚.

Mara pap To yeye anakuja kukiri kuwa ni kidume kimoja kifupi na kakitambi kama Pierre LiquidπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ (jokes).
.........unamchokoza madam aisee, utapiga magoti na kuita mvua sasaiv.........
 
Only the fools will tell the truth [emoji1787] waiting for ignore from several members [emoji1787][emoji1787][emoji2506][emoji475][emoji473][emoji1733][emoji3104]
Kwa hiyo unaniweka kwenye ignore list mkuu? Licha ya madini ninayoyamwaga Jamii Check?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jinga sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…