Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

Ila kuna raha yake mkuu. Ukijaribu huwezi kuacha, utajikuta una list ya IDs mpaka ushangae

Haina utofauti na wale wala tigo, ukijaribu ndo umekwenda na maji

Ila mimi nimekiri kosa na siwezi kurudia huu utoto
Ulikua unafanya kaz saa ngap?
Pole sana
 
Nilitumia simu ya mke wangu, za kwangu mbili na PC. Kwa hiyi uzi ulikuwa unadispalay sehemu zote nne. Na hiyo ikawa ni sehemu ya refresh yangu ya kila siku
Ulikua unapata hata muda wa kuoga na kula mbususu kweli?
Inaonekana all free time yako inaishia JF.
You need help mkuu.
Hauko sawa
 
Ulikua unapata hata muda wa kuoga na kula mbususu kweli?
Inaonekana all free time yako inaishia JF.
You need help mkuu.
Hauko sawa
Kwenye ulaji wa mbususu sikujisumbua sana, nilisukuma tako zangu mbili, wazungu haooo. Kisha nikarudi mitamboni

Yaani kama isack Newton vile
 
Serious ni shida ya akili. Hao wote nisingewaona sababu nimewalamba block.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16] Hivi huwa unapata muda wa kucheka na Mumeo kweli! Mbona uko siriazi kama kuruti wa kambi ya Manyaunyau?

Wanao nahisi wanaambulia mabao kila siku asubuhi. Hili ni tatizo la kutokuridhishwa kitandani, niamini. Kweli tena nakwambia

Niko pale naisubiri block
 
Back
Top Bottom