Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hawakuwepo game ya Azam???Chama out
Mkude out
Sakho out
Kanoute out
Banda out
Mzamiru out
Inonga out
Phiri out
Wewe jamaa bana hakika bado unasafari ndefu sanakwenye utoaji wa mada zako.
Umekaa kishari sana
Unafahamu Chelsea ina majeruhi wangapi au unadhani mchezaji ni kama roboti au anatumia mafuta.
Juzi tumeshuhudia Yanga akipelekwa puta na Ihefu kwa kukosekana wachezaji wake muhimu so nazo ni hujuma.
Yanga akifungwa na Ihefu its ok but Simba akifungwa/akidroo na Dodoma jiji ni Hujuma
Ili mpira wetu ukue ni lazima timu yoyote iwe na uhakika wa kupata matokeo dhidi ya timu kubwa.
Nashangaa sana jamaa wanaovutiwa na habari zako za kichoganishi na uwongo uwongo mwingi.
Take easy kaka mkubwa
Akili mgandoChama pia kabaki Dar. Mtaita maji MA
Kwasababu Simba SC ya sasa ina Mashabiki Wapuuzi ( Hopeless ) Wengi kama Wewe.Mbona mawazo yako huwa ni negative kwa Simba?
Tuanzie hapo
Huenda ukawa umeandika kwa Mzaha tu Mkuu ila hiki Ulichokiandika hapa nakiona na kina Uwezekano hata wa Kutokea.Izo points 10 mbona chache sana mkuu??maana mtafungwa na Azam fc, mta droo na mtibwa, mta droo na Namungo, mtafungwa na Yanga na mtatoa droo na singida big Stars.
Ukipiga hesabu hapo mtaachwa points km 20+hivi
Huna Akili.Kwahiyo Kila timu mnayokutana nayo ni tawi la Yanga!
Endelea Kuota na hapa najua kuna Wapuuzi baadhi ( wana Simba SC ) watakuamini.Simba SC kesho atapata ushindi wa goli 4 kwa buyu.
FT results. Dodoma Jiji 0 : 4 Simba Sc
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Huna Akili.Kwani mechi mlizocheza kabla ya huo uchaguzi mlishinda zote mpaka kusema iyo kesho msipopata ushindi ni sababu ya figisu za uchaguzi? Ifike hatua simba mkubali tu yanga ana kikosi bora na imara ambacho kinaweza kushinda katika mazingira yoyote iwe wamecheza vibaya au vizuri kwa siku iyo na iyo iwape shauku ya kuboresha timu yenu. Haya mambo ya kutengeneza propaganda kujipa relief ya moyo haitawasaidia. Timu yenu haina muendelezo wa falsafa kwa sababu mnabadilisha makocha kwa muda mfupi na kila kocha anakuja na falsasa yake yaani anaanza moja, kitengo cha skauti kimepoteza ufanisi kwa miaka miwili mfululizo mmekua mkisajiri wachezaji wengi ambao hawaleti impact yoyote kwenye timu.. haya ndio mambo ambayo mlitakiwa kuyapigia kelele sio huo utoto wa bahasha, figisu, kuvaa jezi nyeusi n.k
Ni kweli lkn senior players wote hawapo le popoma le mbebezi Yuko sahihi kusema hvyo ,wasiwasi nayo Ni akiliChama out
Mkude out
Sakho out
Kanoute out
Banda out
Mzamiru out
Inonga out
Phiri out
GENTAMYCINE ni Msemakweli na sina Unafiki na Upuuzi kama mlionao wana Simba SC wengi.Wewe ni mtu wa kwanza kwa majungu,nadhani utafurahia matokeo ya kocha mpya kipenzi chenu mnaowachukia wazawa
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Halafu umfunge Dodoma Jiji FC leo?Chama out
Mkude out
Sakho out
Kanoute out
Banda out
Mzamiru out
Inonga out
Phiri out
Halafu ndiyo Umfunge Dodoma Jiji FC ( Yanga SC B ) ambaye huja na Maelekezo yote ya Kucheza hovyo ( Rafu ) na Kutuumizia Wachezaji wetu Mahiri tena wale wa Kigeni?Chama out
Mkude out
Sakho out
Kanoute out
Banda out
Mzamiru out
Inonga out
Phiri out
Rubbish and Nonsensical.Wewe jamaa bana hakika bado unasafari ndefu sanakwenye utoaji wa mada zako.
Umekaa kishari sana
Unafahamu Chelsea ina majeruhi wangapi au unadhani mchezaji ni kama roboti au anatumia mafuta.
Juzi tumeshuhudia Yanga akipelekwa puta na Ihefu kwa kukosekana wachezaji wake muhimu so nazo ni hujuma.
Yanga akifungwa na Ihefu its ok but Simba akifungwa/akidroo na Dodoma jiji ni Hujuma
Ili mpira wetu ukue ni lazima timu yoyote iwe na uhakika wa kupata matokeo dhidi ya timu kubwa.
Nashangaa sana jamaa wanaovutiwa na habari zako za kichoganishi na uwongo uwongo mwingi.
Take easy kaka mkubwa
Kama tu akiacha Kuvuta Bangi nyingi.Kibu D anatutosha
Akikujibu nitagi tafadhali.Hao hawakuwepo game ya Azam???
Izo points 10 mbona chache sana mkuu??maana mtafungwa na Azam fc, mta droo na mtibwa, mta droo na Namungo, mtafungwa na Yanga na mtatoa droo na singida big Stars.
Ukipiga hesabu hapo mtaachwa points km 20+hivi
GENTAMYCINE nikiwa this Knowledgeable and Informed Wewe Mpuuzi na Mshamba Mmoja kinakuuma nini? Kuna mahala popote pale nawe umezuiwa kuwa hivyo / hivi kama Mimi? Waswahili mna taabu mno.Kaka huyo mtu tulimuacha Usije ukajichosha au ukaumiza Kichwa.
Yeye anajidai anajua Kila kitu, Mwenzetu anaweza akaona MATOKEO ya kesho kabla ya Mechi.
Ndio wale mabingwa wa CHUPLI.
Kama upo na Mtu karibu nawe hapo tafadhali muelekeze zilipo Dawa zako za Ugonjwa wa Akili ( Uwendawazimu ) ulionao ili uzinywe kabla hali yake haijaendelea kuwa mbaya kama hivi inavyoonekana sasa sawa?Professor popoma VIP mkuu ,kesi yako ile ya kawe kukatwa vidole na bwana cherehani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app