Kwani mechi mlizocheza kabla ya huo uchaguzi mlishinda zote mpaka kusema iyo kesho msipopata ushindi ni sababu ya figisu za uchaguzi? Ifike hatua simba mkubali tu yanga ana kikosi bora na imara ambacho kinaweza kushinda katika mazingira yoyote iwe wamecheza vibaya au vizuri kwa siku iyo na iyo iwape shauku ya kuboresha timu yenu. Haya mambo ya kutengeneza propaganda kujipa... Timu yenu haina muendelezo wa falsafa kwa sababu mnabadilisha makocha kwa muda mfupi na kila kocha anakuja na falsasa yake yaani anaanza moja, kitengo cha skauti kimepoteza ufanisi kwa miaka miwili mfululizo mmekua mkisajiri wachezaj weng ambao hawalet impact yoyote kwenye timu.. haya ndio mambo ambayo mlitakiwa kuyapigia kelele sio huo utoto wa bahasha, figisu, kuvaa jezi nyeusi n.k