Huenda ule Mkakati Maalum wa Simba SC kuachwa rasmi na Yanga SC kwa Alama 9 au 10 ukakamika Kesho huko Dodoma

Izo points 10 mbona chache sana mkuu??maana mtafungwa na Azam fc, mta droo na mtibwa, mta droo na Namungo, mtafungwa na Yanga na mtatoa droo na singida big Stars.
Ukipiga hesabu hapo mtaachwa points km 20+hivi
Kaa kitako endelea kula hogo huku ukisubiri huo utabiri wako...
 
Kwani mechi mlizocheza kabla ya huo uchaguzi mlishinda zote mpaka kusema iyo kesho msipopata ushindi ni sababu ya figisu za uchaguzi? Ifike hatua simba mkubali tu yanga ana kikosi bora na imara ambacho kinaweza kushinda katika mazingira yoyote iwe wamecheza vibaya au vizuri kwa siku iyo na iyo iwape shauku ya kuboresha timu yenu. Haya mambo ya kutengeneza propaganda kujipa... Timu yenu haina muendelezo wa falsafa kwa sababu mnabadilisha makocha kwa muda mfupi na kila kocha anakuja na falsasa yake yaani anaanza moja, kitengo cha skauti kimepoteza ufanisi kwa miaka miwili mfululizo mmekua mkisajiri wachezaj weng ambao hawalet impact yoyote kwenye timu.. haya ndio mambo ambayo mlitakiwa kuyapigia kelele sio huo utoto wa bahasha, figisu, kuvaa jezi nyeusi n.k
Wewe acha pang'ang'a mingi... Timu bora imeshindwa kwenda kuwakilisha Nchi kwa mabingwa huko CAFCL au unazungumzia ubora ndan ya NBC PL ambao unachagizwa na mambo uliyoyataja hapo mwishoni?!
 
Yanga katolewa na al hilal ambayo sio mbovu imefanya uwekezaji mkubwa na ina kocha mwenye uzoefu na michuano ya afrika pia imeshiriki hatua ya makundi kwa miaka minne mfululizo kitu ambacho hata nyie mmeshindwa na kutolewa kwenyewe sio kwamba yanga alizidiwa uwanjani ni makosa madogo madogo tu ya kukosa uzoefu na hayo mashindano ndio yalimgharimu. Hata makolo mngekutana na al hilal mngeweza kutolewa. Njia mliyopitia kufika group stage ni nyepesi sana, big bullett na agosto waje kucheza ligi ya bongo hata top 5 hawaingii. Ubora wa yanga sio nbc pl tu kwani ukuona watunisia walivyopigiwa mpira kule kwao. Ngao ya hisani makolo mlipewa bahasha? Yanga alivaa jezi nyeusi? Kumbuka mechi takribani 7 mfululizo ushindi wako kwa yanga ni sare
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana

Kwan Simba hakuna timu zimemzidi uwekezaji na alizifunga na pia anashika nafasi ya kuliko hizo timu zilizomzidi huo uwekezaji?...
 
Kama upo na Mtu karibu nawe hapo tafadhali muelekeze zilipo Dawa zako za Ugonjwa wa Akili ( Uwendawazimu ) ulionao ili uzinywe kabla hali yake haijaendelea kuwa mbaya kama hivi inavyoonekana sasa sawa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wew c ulikatwa vidole vya miguu na bwana cherehani wa kawe ama siyo wee ulikuja kulalamika hapa

Anyway Leo umeonaje game yetu na ruvushooting simba c

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] nmekumbuka story yake na wajamaa waliomdaka ugoni akachagua kipigwa miti
 
Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
FB_IMG_1674509504591.jpg
 
Back
Top Bottom