Huenda ule Mkakati Maalum wa Simba SC kuachwa rasmi na Yanga SC kwa Alama 9 au 10 ukakamika Kesho huko Dodoma



Kaka huyo mtu tulimuacha Usije ukajichosha au ukaumiza Kichwa.

Yeye anajidai anajua Kila kitu, Mwenzetu anaweza akaona MATOKEO ya kesho kabla ya Mechi.

Ndio wale mabingwa wa CHUPLI.
 
Izo points 10 mbona chache sana mkuu??maana mtafungwa na Azam fc, mta droo na mtibwa, mta droo na Namungo, mtafungwa na Yanga na mtatoa droo na singida big Stars.
Ukipiga hesabu hapo mtaachwa points km 20+hivi
Huenda ukawa umeandika kwa Mzaha tu Mkuu ila hiki Ulichokiandika hapa nakiona na kina Uwezekano hata wa Kutokea.
 
Simba SC kesho atapata ushindi wa goli 4 kwa buyu.

FT results. Dodoma Jiji 0 : 4 Simba Sc

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Endelea Kuota na hapa najua kuna Wapuuzi baadhi ( wana Simba SC ) watakuamini.

Tukutane hapa hapa Saa 3 Kamili leo Usiku baada ya Mechi Kumalizika sawa Mkuu?
 
Huna Akili.
 
Wewe ni mtu wa kwanza kwa majungu,nadhani utafurahia matokeo ya kocha mpya kipenzi chenu mnaowachukia wazawa

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
GENTAMYCINE ni Msemakweli na sina Unafiki na Upuuzi kama mlionao wana Simba SC wengi.

Nasisitiza Simba SC tukishinda leo nitafurahi ila Kiufundi, Kukosekana kwa Key Players wetu na jinsi Dodoma Jiji FC ( Yanga SC B ) ambavyo huwa Wanacheza Kikatili ( kwa Fujo ) wakikutana na Simba SC naiona hii Mechi kuwa Ngumu mno Kwetu na huenda hata Ushindi wetu leo ukawa ni wa Sare au Suluhu na tukizubaa hata Kufungwa nao leo Kunawezekana pia.

Tatizo lenu Kubwa wana Simba SC mlioko hapa JamiiForums huwa mnapenda Kukurupuka pale tu GENTAMYCINE nikiandika Jambo ila huwa hamtaki Kuchukua muda wenu Kutulia, Kutafakari na Kunielewa.

Badilikeni.
 
Chama out
Mkude out
Sakho out
Kanoute out
Banda out
Mzamiru out
Inonga out
Phiri out
Halafu ndiyo Umfunge Dodoma Jiji FC ( Yanga SC B ) ambaye huja na Maelekezo yote ya Kucheza hovyo ( Rafu ) na Kutuumizia Wachezaji wetu Mahiri tena wale wa Kigeni?
 
Rubbish and Nonsensical.
 
Kaka huyo mtu tulimuacha Usije ukajichosha au ukaumiza Kichwa.

Yeye anajidai anajua Kila kitu, Mwenzetu anaweza akaona MATOKEO ya kesho kabla ya Mechi.

Ndio wale mabingwa wa CHUPLI.
GENTAMYCINE nikiwa this Knowledgeable and Informed Wewe Mpuuzi na Mshamba Mmoja kinakuuma nini? Kuna mahala popote pale nawe umezuiwa kuwa hivyo / hivi kama Mimi? Waswahili mna taabu mno.
 
Professor popoma VIP mkuu ,kesi yako ile ya kawe kukatwa vidole na bwana cherehani

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama upo na Mtu karibu nawe hapo tafadhali muelekeze zilipo Dawa zako za Ugonjwa wa Akili ( Uwendawazimu ) ulionao ili uzinywe kabla hali yake haijaendelea kuwa mbaya kama hivi inavyoonekana sasa sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…