Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Kufuatilia vikao vizito vinavyoendelea vyenye agenda ya kurudisha utulivu na amani DRC pia ushahidi na hesabu za idadi vta vifo vya raia, ubakaji, utesaji na mauaji kadhaa mamlaka za haki zinategemea kukaa na kumshauri mwendesha mashtaka mkuu wa ICC kuorodhesha ushahidi na wahusika katika vita hivyo, aidha viongozi wanaomulikwa ni kiongozi wa M23 Colonel Naanga, msemaji wa M23 Kanyuka, viongozi wa AFC na viongozi kadhaa wa Rwanda,Waziri wa mambo ya kigeni wa Rwanda, na kiongozi wa ADF