Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Watamaliza ugomvi wenyewe maana ndio wanajua chanzo cha ndani zaidiKuingia kwenye kumi na nane za watu ndio huku.
Kampuni za ufaransa na uingereza zimetajwa kwenye sababu za kumpiga vikwazo kaberebe, dizaini trump hana mrija DRCWatamaliza ugomvi wenyewe maana ndio wanajua chanzo cha ndani zaidi
Sasa hawa Banyamulenge wakiambia wao Sio raia, Wana dai wanatengwa sasa iweje Kaberebe kuwa kwenye jeshi la Kongo na baadae jeshi la RwandaKampuni za ufaransa na uingereza zimetajwa kwenye sababu za kumpiga vikwazo kaberebe, dizaini trump hana mrija DRC
Hapo congo ni milions sio maelfu wamekufa. Hapo ndio genocide zimefanyika sasa kwa miaka mingi. Watu wamekuwa wakizungumzia genocide ya watutsi lakin ile ikotany ya kagame imeua sio chini ya wahutu milion 4 ndani ya Rwanda na nje yake hasa ndani ya Congo kwa kisingizio cha kuwauwa watu waliofanya mauaji ya kimbariWaache unaa kama kweli wanafatata haki wawakamate kwanza Netanyau,Hayatollah na Putin kwa maelfu ya watu waliowauwa.