Huenda wakati wowote nikawa milionea

Matapeli hao. Ndio story zao zinavyokuwaga hivyo.Usipoangalia hata hicho kidogo ulichokisevu kwa kazi ya kubeba box wanaweza wakakikwapua ukabaki na p*mb* zako mbili...
Usije sema sikukutaadharisha...
mkuu siyo matapeli. Matapeli ni wale wanaokutafuta siyo wewe unayewasech
 
Hahahaha wajinga ndio waliwao..wewe huna tofauti na wanaocheza pool table saa1 asubuhi.
 
aaahhhh JF oyeeeeee
ndio ndoto za wengi hizo lakini
 
Mkuu kumpiga kimbola maana yake nini? Hongera kwa hatua uliyofikia.
 
Ngoja ukaolewe
haina shida ila hata pochi ntambebea sinajua ninachotaka. Hawa wamama wakizungu ambao wako depressed wewe wawini tu kisaikojia na ujitume kupiga miti kwa weled. Ila wanapenda kudictate
 
haina shida ila hata pochi ntambebea sinajua ninachotaka. Hawa wamama wakizungu ambao wako depressed wewe wawini tu kisaikojia na ujitume kupiga miti kwa weled. Ila wanapenda kudictate
Yaani wewe ni noma
 
Kwa hiyo hadi umejiita Copenhagen..duu jf raha tupu..Teh Teh..
mkuu ndio mji wangu nilipo. Ila nina ID nyingi tu humu. Zingine huwez amin navyoheshimika kwenye jukwaa la siasa navyomwaga point za nguvu. Usije ukashangaa mzee mwana kijiji ni warumi ama Mtazamo ndiye jingalao au salary slip ndiye Lizabon Ama Pdidy mmamdenyi. Usimuamin mbongo kabisa akiwa nyuma ya keyboard
 
licha hata ya kumuoa itanilazim hata juju tu nimpige. Yani huu moyo wa kuwa milionea umeningia kwa kas ya ajabu
Hongera sana mkuu bahati haiji mara mbili hakikisha siku hiyo unakunywa konyagi na kuvuta bangi kidogo ndio uchawi wenyewe huo.....bao la kwanza tu 3 hours later...
 
Mkuu Yani ni njooz ya ushindi. Yani nikipata hata pauni million moja naiweka kwenye fixed deposit account baada ya mwaka napata faida ya pauni zaid ya laki moja na nusu.
Fixes ipi? ya simple interest au compound??
 
Kumbe inwezekana unapiga fix?
Kwa hiyo umekubali kuolewa na huyo mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…