bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,985
Ya Leo makubwa hukukikubwa tu ni maombi yako mkuu. Yani afanye kosa tukutane hachomoi. Mimi sinaga aibu ndio maana Niko Leo Denmark. Nilimpiga saundi mdada flan wa kidenish bongo 2007
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Leo makubwa hukukikubwa tu ni maombi yako mkuu. Yani afanye kosa tukutane hachomoi. Mimi sinaga aibu ndio maana Niko Leo Denmark. Nilimpiga saundi mdada flan wa kidenish bongo 2007
mkuu siyo matapeli. Matapeli ni wale wanaokutafuta siyo wewe unayewasechMatapeli hao. Ndio story zao zinavyokuwaga hivyo.Usipoangalia hata hicho kidogo ulichokisevu kwa kazi ya kubeba box wanaweza wakakikwapua ukabaki na p*mb* zako mbili...
Usije sema sikukutaadharisha...
licha hata ya kumuoa itanilazim hata juju tu nimpige. Yani huu moyo wa kuwa milionea umeningia kwa kas ya ajabuHahahaaaaa....kwa hiyo utamuoa
Mkuu kumpiga kimbola maana yake nini? Hongera kwa hatua uliyofikia.Ebwana wanaJF Mzuka!
Amani iwe kwenu. Yani ni zali ya aina yake. Ni hivi ukiondoa JF masaa hayapiti kama sijasoma Daily Mail online UK. August 2015 walileta habari ya mwanamke muingereza ambaye alikuwa anadai Mali zaidi mahakaman kwenye talaka ya ndoa yao iliyodumu miaka mingi.
Kabla ya ndoa yao kuvunjika walikuwa wafanyabiashara matajari wakihodhi Mali nyingi. Mwanamama huyu hakupenda ndoa yao ivunjike ila kuna kasichana kamiaka 23 kalimpagawisha mume wake ambaye ana miaka zaid ya 50. Sasa mwanaume anadai utajiri wao ni 150 million wagawane nusu kwa nusu ila mwanamke kakataa anataka zaid na anadai huyo mwanaume anaficha Mali zingine mabara mengine utajiri wao ni zaidi ya 300 million pounds. Kesi bado ipo mahakaman halaf tait ni ya kukomoana na kulipizana kisasi.
Nilipoisoma hii story nilimuonea huyu mama huruma Kwanza ni mzuri kwa sura na umbo. Mume wake alivyompata huyo mchepuko akawa anamtukana 'she's fat and ugly'. Ilibidi niingie Facebook nikasech jina lake nikamuandikia msg za faraja na kumtia moyo waraka niliuandika kwa weled wa aina yake. Ila hakujib toka mwez wa 8 2015.
Jana ijumaa sikuamin macho yangu kwenye FB messenger Yani hadi mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi ya ajabu. Huyu mmama bana kanijibu maamaee. Where are you from? And what are you doing for a living in Denmark? I'd really like to know more about you!
Baada ya kusoma iyo msg nina imani na matarajio huenda naweza kuwa milionea dah mungu akiamua kukumulikia tochi. Hizi kazi za kubeba boksi nazo zinachosha. Nilimjibu iyo Jana ila hajajibu na hajaniadd kwenye friend request. Ikitokea tukutane maamaee hummer renjii na V8 zinanihusu. Sitabeba boksi tena na retire kabisa. Niko radhi hata kumpiga kimbola. Kesi bado ipo mahakaman.
Born a poor is not a sin but dying poor it's sin- Bill Gates
Get rich or die trying- 50%
haina shida ila hata pochi ntambebea sinajua ninachotaka. Hawa wamama wakizungu ambao wako depressed wewe wawini tu kisaikojia na ujitume kupiga miti kwa weled. Ila wanapenda kudictateNgoja ukaolewe
Kwa hiyo hadi umejiita Copenhagen..duu jf raha tupu..Teh Teh..licha hata ya kumuoa itanilazim hata juju tu nimpige. Yani huu moyo wa kuwa milionea umeningia kwa kas ya ajabu
kurogaMkuu kumpiga kimbola maana yake nini? Hongera kwa hatua uliyofikia.
Yaani wewe ni nomahaina shida ila hata pochi ntambebea sinajua ninachotaka. Hawa wamama wakizungu ambao wako depressed wewe wawini tu kisaikojia na ujitume kupiga miti kwa weled. Ila wanapenda kudictate
Duh!! Kila rakheri mkuukuroga
Hawa ndio vijana wanao lilia viwanda....hahahahah,are you serious?
mkuu ndio mji wangu nilipo. Ila nina ID nyingi tu humu. Zingine huwez amin navyoheshimika kwenye jukwaa la siasa navyomwaga point za nguvu. Usije ukashangaa mzee mwana kijiji ni warumi ama Mtazamo ndiye jingalao au salary slip ndiye Lizabon Ama Pdidy mmamdenyi. Usimuamin mbongo kabisa akiwa nyuma ya keyboardKwa hiyo hadi umejiita Copenhagen..duu jf raha tupu..Teh Teh..
Hongera sana mkuu bahati haiji mara mbili hakikisha siku hiyo unakunywa konyagi na kuvuta bangi kidogo ndio uchawi wenyewe huo.....bao la kwanza tu 3 hours later...licha hata ya kumuoa itanilazim hata juju tu nimpige. Yani huu moyo wa kuwa milionea umeningia kwa kas ya ajabu
Fixes ipi? ya simple interest au compound??Mkuu Yani ni njooz ya ushindi. Yani nikipata hata pauni million moja naiweka kwenye fixed deposit account baada ya mwaka napata faida ya pauni zaid ya laki moja na nusu.
Kumbe inwezekana unapiga fix?mkuu ndio mji wangu nilipo. Ila nina ID nyingi tu humu. Zingine huwez amin navyoheshimika kwenye jukwaa la siasa navyomwaga point za nguvu. Usije ukashangaa mzee mwana kijiji ni warumi ama Mtazamo ndiye jingalao au salary slip ndiye Lizabon. Usimuamin mbongo kabisa akiwa nyuma ya keyboard
licha hata ya kumuoa itanilazim hata juju tu nimpige. Yani huu moyo wa kuwa milionea umeningia kwa kas ya ajabu