Huenda wakati wowote nikawa milionea

Huenda wakati wowote nikawa milionea

Kuna harufu ya utapeli mkuu.hao ni matapeli wa west africa ndo kazi zao.huwa wana mbinu tofauti tofauti sana.
 
Hahahhaah! Wacha niishie hapa..! Naomba tu ukumbuke kutoa sadaka upatapo hiyo mi pounds! Hahah! Asee! Amazing post ever!!
 
Huyo mama kapewa ushauri na mganga ili afanikiwe kesi yake aroge kwa kumtoa kafara mtu sasa usije kuwa ni wewe mbuzi wa sadaka
 
kikubwa tu ni maombi yako mkuu. Yani afanye kosa tukutane hachomoi. Mimi sinaga aibu ndio maana Niko Leo Denmark. Nilimpiga saundi mdada flan wa kidenish bongo 2007
Mkuu nimecheka sana huu Uzi wako,naimani imeandika utani ili kurefusha maisha ya watu,ila kama ni kweli all the best,ila usijebreak moyo wa mama milionea mara ya pili kama akiingia kingi
 
Mtu aliepata Zali la maana ni Prof jay tu la kumchukua binti watu
 
am serious my friend. Na siyo huyu wa kwanza niliotumia hii mbinu. Kuna wawili nilishawaleta hadi Denmark sema hao hawana hela. Mmoja dailymail waliweka story yake she's so fat to work she needs more benefits money to buy healthy food to loose weight bcoz she always eat junk food. Nikanakili jina lake nikaingia kwenye fb mbona hadi Copenhagen alikuja
vp alikupa mchezo ?
 
Mtu aliepata Zali la maana ni Prof jay tu la kumchukua binti watu
hahaha kwenye upepo unapovuma?? Zali za NGESEKI hizo hazina hata gerentii. Na Magu anavyotumbua mijipu sasa hivi
 
Wanaume wa diaspora hao
ebwana kamanda katika maisha lazima uwe na mikakati thabiti na malengo yaliotukuka. Kamwe bahat haiwez kukuangukia kama mana. Lazima uitafute na hata uondoe mshipa wa aibu. Hata walioshinda lottery hawakununua tiket za lottery tu mara moja wamenunua mara nyingi tu.
 
Ebwana wanaJF Mzuka!

Amani iwe kwenu. Yani ni zali ya aina yake. Ni hivi ukiondoa JF masaa hayapiti kama sijasoma Daily Mail online UK. August 2015 walileta habari ya mwanamke muingereza ambaye alikuwa anadai Mali zaidi mahakaman kwenye talaka ya ndoa yao iliyodumu miaka mingi.

Kabla ya ndoa yao kuvunjika walikuwa wafanyabiashara matajari wakihodhi Mali nyingi. Mwanamama huyu hakupenda ndoa yao ivunjike ila kuna kasichana kamiaka 23 kalimpagawisha mume wake ambaye ana miaka zaid ya 50. Sasa mwanaume anadai utajiri wao ni 150 million wagawane nusu kwa nusu ila mwanamke kakataa anataka zaid na anadai huyo mwanaume anaficha Mali zingine mabara mengine utajiri wao ni zaidi ya 300 million pounds. Kesi bado ipo mahakaman halaf tait ni ya kukomoana na kulipizana kisasi.

Nilipoisoma hii story nilimuonea huyu mama huruma Kwanza ni mzuri kwa sura na umbo. Mume wake alivyompata huyo mchepuko akawa anamtukana 'she's fat and ugly'. Ilibidi niingie Facebook nikasech jina lake nikamuandikia msg za faraja na kumtia moyo waraka niliuandika kwa weled wa aina yake. Ila hakujib toka mwez wa 8 2015.

Jana ijumaa sikuamin macho yangu kwenye FB messenger Yani hadi mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi ya ajabu. Huyu mmama bana kanijibu maamaee. Where are you from? And what are you doing for a living in Denmark? I'd really like to know more about you!

Baada ya kusoma iyo msg nina imani na matarajio huenda naweza kuwa milionea dah mungu akiamua kukumulikia tochi. Hizi kazi za kubeba boksi nazo zinachosha. Nilimjibu iyo Jana ila hajajibu na hajaniadd kwenye friend request. Ikitokea tukutane maamaee hummer renjii na V8 zinanihusu. Sitabeba boksi tena na retire kabisa. Niko radhi hata kumpiga kimbola. Kesi bado ipo mahakaman.

Born a poor is not a sin but dying poor it's sin- Bill Gates

Get rich or die trying- 50%
kweli wanaume wanapungua kwa kasi unadhihilisha kwamba ww n shogo sio
 
Back
Top Bottom