Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heri ya mwaka mpya kamanda, natumai maisha ya mwaka mpya yameanza vyema
Hakika ni kitabu kisicho na shaka ndani yakeHayakuwa maisha ya dunia ila ni starehe fupi sanaa/pumbao...
Pole yake, Mimi huwa nayashangaa haya matapeli ya kijani ambayo tumeyapa dhamana ya kutuongoza na kuishia kutuibia. Yataiba lakini yatambue hujafa hujaumbikaView attachment 2868973
Haya maisha ukitafakari sana utagundua si chochote si lolote, ni masikitiko matupu na kujidanganya. La msingi ni kufanya kila liwezekanalo kuwatabasamisha watu wako wachache utakaoweza (maana wengi huwezi) na kisha kujiondokea zako kwenda kukutana na mwenyewe aliyekuumba.
Nafurahi kusikia kuwa huyu mheshimiwa kamwe hajawahi kuwa na maisha ya kujidai kwa wananchi wenzake wa Kilwa. Daima moyo wake na harakati zake zote zilikuwa kuwatetea na kuwainua wanaKilwa wenzake. Hata hapo, akiwa katika hali hiyo, yupo kwenye kikao na anatoa mchango wake kwa maendeleo ya Kilwa.
Angelikuwa mwepesi tu wa imani basi angekuwa ndani amejifungia. Mungu ambariki sana!
Nimekuomba jina la hospital na nchi ulioenda 1st World ukaona standard za huduma zipo sawa na hapa.Haya niambie ni utaalamu gani wa kutibu sukari ambao Tanzania haupo
Mungu amfanyie wepesi. Sukari mbaya sanaView attachment 2868973
Haya maisha ukitafakari sana utagundua si chochote si lolote, ni masikitiko matupu na kujidanganya. La msingi ni kufanya kila liwezekanalo kuwatabasamisha watu wako wachache utakaoweza (maana wengi huwezi) na kisha kujiondokea zako kwenda kukutana na mwenyewe aliyekuumba.
Nafurahi kusikia kuwa huyu mheshimiwa kamwe hajawahi kuwa na maisha ya kujidai kwa wananchi wenzake wa Kilwa. Daima moyo wake na harakati zake zote zilikuwa kuwatetea na kuwainua wanaKilwa wenzake. Hata hapo, akiwa katika hali hiyo, yupo kwenye kikao na anatoa mchango wake kwa maendeleo ya Kilwa.
Angelikuwa mwepesi tu wa imani basi angekuwa ndani amejifungia. Mungu ambariki sana!
Huyu ndiye aliyesema majimbo ya uchaguzi Zanzibar ni kama vijiji ukipuliza mluzi jimbo zima wanasikia.
Au nasema uongo ndugu zangu.
Tungeweza kuishi kama kesho hatutakuwepo,heshima ingekuwepo na maisha yangekuwa mazuriLife changes leo una mali kesho huna, leo una viungo vyote vya mwili kesho huna, leo una baba na mama kesho huna, leo una mume/mke watoto kesho huna, leo una uhai kesho huna
Dah
🙏View attachment 2868973