Unajua kuna watu wanaropoka tu. Wakati watu tumekimbiza watu Nairobi kwa vigonjwa vidogo sababu tulikuwa tunawapoteza hapa. Tanzania unakuta Daktari bingwa bado ana tibu na teknolojia na elimu ya mwaka 2000. Unaenda hospital kubwa wana vifaa hawajui kutumia. Wana daktari wazuri, mgonjwa anakufaa sababu ya poor nursing halafu huyu kilaza
maramojatu anakwambia tuna standards za 1st world. Hii nchi hata chanjo tu za watoto tunapewa misaada na wahisani. Madawa na vifaa tiba tunategemea USAID na mashirika ya kimataifa halafu mtu anakwambia tuna standards. Damn.