BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Nakumbuka kama alipata ajali jijini Dar gari likamlalia Mkono ikabidi ukatwe. Niko tayari kusahihishwa.Eleza pia chanzo cha kukatwa mguu.
Usieleze kama vile tunajua.
Halafu huko huko Lindi aliyewahi kuwa Mbunge wa Mchinga Bwana Mudhihiri Mohamed Mudhihiri aliwahi kupata ajali akaumia mkono. Sikumbuki kama alikatwa au alikuwa kilema!
Pole sana Bwana Bwege mbunge maarufu Afrika ya Mashariki na Kati.
Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app