Hujafa hujaumbika: Huyu ndio yule Sulemani Bungara (Bwege)

Heri ya mwaka mpya kamanda, natumai maisha ya mwaka mpya yameanza vyema

Shukrani ndugu yangu. Tunashukuru hadi Sasa Mwaka umeanza vizuri, tumeanza kurejea kwenye uchapakazi baada ya mapumziko ya mwisho wa mwaka.
Tuendelee kuomba baraka na mafanikio zaidi Kwa mwaka 2024 kaka.
 
Life changes leo una mali kesho huna, leo una viungo vyote vya mwili kesho huna, leo una baba na mama kesho huna, leo una mume/mke watoto kesho huna, leo una uhai kesho huna

Dah
 
Pole yake, Mimi huwa nayashangaa haya matapeli ya kijani ambayo tumeyapa dhamana ya kutuongoza na kuishia kutuibia. Yataiba lakini yatambue hujafa hujaumbika
 
Mungu amfanyie wepesi. Sukari mbaya sana
 
Ndo hapo sasa utasikia makenge yanauliza eti unaishije na watu ambao hawajasoma?! Maisha yakiamua,ni kama kifo tu. Kwa ushauli wako wangekuelewa,mbona raha sana kujishusha na kuishi na watu vizuri!
 
Life changes leo una mali kesho huna, leo una viungo vyote vya mwili kesho huna, leo una baba na mama kesho huna, leo una mume/mke watoto kesho huna, leo una uhai kesho huna

Dah
Tungeweza kuishi kama kesho hatutakuwepo,heshima ingekuwepo na maisha yangekuwa mazuri
 
🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…