Sasa mimi natumia kilo tano ya mchele kwa siku 60...unadhani ninakua nime save shilingi ngapi?Huwezi kunielewa. Wewe unaangalia bei ya chakula na bei ya kilo ya unga.
Duh wapi huko?Nilidhani supu ya nyama Mkuu...
Kwa kweli supu ya utumbo (offals) niko na allergy nayo nikinywa hiyo tumbo huwa linavurugika sana....
Huku supu ya mbuzi safi kabisa elfu 6 za kitanzania Mkuu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wali nyama maharage mchicha nilikuwa nakula mwananyala 1,500/- simalizi! Nilikuwa naongezea ndizi mbivu ya 150/-Nimewaza hiko chakula cha 1500 ni kipi?
Kuleni jamani hela zenyewe zinatafutwa kwa shida.
Ubahili hadi kwenye kula.??
Sent using Jamii Forums mobile app
White rose makumbusho tu hapa boss ukipata na chapati zako mbili ukashusha na coca cola baridi....Duh wapi huko?
6000/- ni supu na pilau mchana. Huko nawaachia nyinyi.White rose makumbusho tu hapa boss ukipata na chapati zako mbili ukashusha na coca cola baridi....
Ewaaah mchana unauruka tu boss....
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi eneo na eneo.Kuna wali nyama maharage mchicha nilikuwa nakula mwananyala 1,500/- simalizi! Nilikuwa naongezea ndizi mbivu ya 150/-
Supu ya afya tu mkuu unakunywa roho inasuzika breakfast kuacha 8000 mezani kawaida tu hiyo....6000/- ni supu na pilau mchana. Huko nawaachia nyinyi.
Yani haupo siriaz kabisa mkuu.Supu ya afya tu mkuu unakunywa roho inasuzika breakfast kuacha 8000 mezani kawaida tu hiyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa unakula wali mara moja kwa wiki. Andika na vingine unavyokula ndani ya hizo siku 60. Kilo tano siku 60 ni grams 83.3 kwa sikuSasa mimi natumia kilo tano ya mchele kwa siku 60...unadhani ninakua nime save shilingi ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea mkuu assume ofisi yangu ni hapa makumbusho utataka nikanywe supu kwa mtogole au mwananyamala....
Sio mbaya mradi matumizi yasizidi kipatoKawaida sana mfano leo nilikuwa kariakoo pale wanapouza zile Cd za kikorea kuna Cafe moja.Nimeingia nkaagiza ugari dona na kuku mkavu hipsi na mtindi nlivomaliza nkashushia na juice ya parachichi bili ikaja alfu 8 na nlikuwa sijakunywa chai so ni kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio zangu hizo.Supu ya afya tu mkuu unakunywa roho inasuzika breakfast kuacha 8000 mezani kawaida tu hiyo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi huwezi kuandaa menyu homu mfano muhogo wako wa kuchemsha na samaki wa nguvu pembeni unatia kwenye akiba yako fresh hyo vipi?Inategemea mkuu assume ofisi yangu ni hapa makumbusho utataka nikanywe supu kwa mtogole au mwananyamala....
Binafsi nitakua sija save kitu zaidi ya kuongeza gharama, so bora hiyo 8000 kuliko kwenda kunywa supu za elfu 2 huko ndanindani boss....
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hizo wewe hio supu 2000 nakunywa sehemu posh kuliko makumbushoInategemea mkuu assume ofisi yangu ni hapa makumbusho utataka nikanywe supu kwa mtogole au mwananyamala....
Binafsi nitakua sija save kitu zaidi ya kuongeza gharama, so bora hiyo 8000 kuliko kwenda kunywa supu za elfu 2 huko ndanindani boss....
Sent using Jamii Forums mobile app