Hujaoa/Hujaolewa alafu unatumia Tsh 10,000 au zaidi kwa siku kwa ajili ya chakula tu! Ni anasa hizo

We pambana na hali yako watu wanatumia hadi Tsh 50000 kwajili ya kula masaa 24

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajinyima kula halafu unaenda kuhonga??!
 
KWa Ajili Ya Kula Mlo wa Asubuhi Na Mchana Huwa Unanicost 8,500/= (Nimejibana Mno)
Then JIon Natumia Kama 2,500/= Sababu Ni Mda Wa Kulala
But KWa Uhalisia Per Day gharama Yangu Ni 15,000/=

Sema Ubahiri wako usiweke kuwa kanuni za wengine Ishi kwa urefu wa kamba yako
Wengine kumbuka hawajafungwa kamba so take care, wengine kula ndio starehe yetu kama wewe ulivyo na starehe yakwako

Nadhani unataka ukale vizuri peponi
 
Nyie tambianeni, hamna kitu nadharau kama kula. Mimavi tu, sitaeleza yangu binafsi, ila gharama za mlo sikuzote zinachochewa na kipato.

Sent using BlackBerry Z10 Jamii Forums mobile app
 
Hali mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…