Hujuma kubwa dhidi ya reli mpya ya SGR inayofanywa na wanaccm na ndilo chimbuko la kukataa katiba mpya.

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Utawala wa hayati Magufuli uliona tatizo la gharama za matengenezo ya barabara zinazoelekea bandarini, hivyo rais Magufuli akaamua kujenga bandari kavu mkoa wa pwani eneo la Kwala, na ili itumike ikaamuliwa iunganishwe na reli ya sgr. Uwepo wa reli hiyo ungeiingizia mapato serikali ambayo yangetumika kuiendeleza reli hiyo kwenda bara na nchi jirani, lakini wahujumu wakabuni njia ya kujitajirisha kwa kununua ghafla malori mengi ili wasafirishe mizigo kwenda bara na kuipiga teke bandari kavu ya Kwala! Uamuzi unaotekelezwa na viongozi wa juu wa CCM ambao ni walinzi wa uchumi wa nchi huku wakijua reli bila kubeba mizigo inakuwa haina faida kwani hakuna nchi inajenga reli kwa ajili ya kusafirisha abiria na ili lengo liende kwa mafanikio wakazuia upatikanaji wa katiba mpya ambayo huenda ingewabana.
Wachumi wote wanajua bila mizigo reli inakufa kama ilivyotokea kwa reli ya TAZARA ambyo imejikuta ikikosa mizigo na kuambulia abiria ambao hawasaidii upunguzaji gharama za uendeshaji. Tujikumbushe reli ya Mtwara kwenda Nachingwea ambayo baada ya mradi wa mkonge kukwama ikabidi kuing'oa. Viongozi wamekua wakituhadaa kwa kujikita kupigia chapuo muda mfupi abiria wanaotumia kusafiri kati ya miji bila kujua nauli zitapanda mara dufu kufidia gharama za uendeshaji kutokana na mizigo mingi kubebwa na malori ambayo yanatuingizia gharama za matengenezo ya barabara kila mwaka huku wamiliki wakitajirika bila gharama! Ni raha iliyoje.
 
ok. 🐒
 
Wakati CCM wanaijenga wewe na lisu mlikuwa unaipinga leo unaseje mama

USSR
 
Ingekuwa zama zileee Uzi huu ungeupinga jentromeni
hakuna hujuma SGR gentleman,
safari zinakwenda vizuri sana na zote ziko full kila siku ya safari.

ni muhimu kuendelea kutumia mtandao kufanya booking za usafiri wa SGR na itapendeza zaidi 🐒
 
Soma uelewe kisha andika, acha kukurupuka mradi tu utetee usichokijua.
 
naunga mkono hoja ila sahihisho, reli ya nachingwea-mtwara haikua kusafirisha mkonge bali ni mradi mkubwa wa karanga ambapo waingereza waliuanzisha baada ya kuona kuna uhaba na upungufu mkubwa wa mafuta ya kupikia kwenye soko la dunia, mradi iliitwa groundnut scheme …
 
Soma uelewe kisha andika, acha kukurupuka mradi tu utetee usichokijua.
relax bas gentleman,
hakuna haja ya mihemko,

nimelazimika kumueleza muungwana aliereply comment yangu ya kwanza, ujumla wa hali ya mradi wa SGR unavyoendeshwa kwa weledi wa kiwango cha juu sana kimtandao. Na nikasisitiza wananchi kuendelea kutumia mtandao kufanya booking ya safari za usafiri huo wa uhakika zaidi Tanzania.

sikua na haja ya kubabaika wala kupoteza wangu kudeal na porojo zako zingine ambazo kwakweli hisia binafsi useless kweli 🐒
 
Wanasema treni inabeba mabehewa machache ndio mana imefeli Kua suluhisho.
Kwahiyo malori hayakwepeki.
 
hakuna hujuma SGR gentleman,
safari zinakwenda vizuri sana na zote ziko full kila siku ya safari.

ni muhimu kuendelea kutumia mtandao kufanya booking za usafiri wa SGR na itapendeza zaidi 🐒
Kama kawaida uelewa mdogo. Tunaongelea treni za mizigo na matumizi ya bandari kavu ya kwala, sio treni tatu za abbiria.
 
Gentleman,
bado sekta ya usafirishaji kupitia reli inaendelea kufanya kazi kubwa na nzuri sana kwa ustawi wa uchumi wa taifa letu.

changamoto ndogo ndogo katika bandari kavu nchini, hususani katika jiji la Dar Es Salaam, nazo zinafanyiwa kazi usiku na mchana, nadhani sote ni mashahidi kwamba kwasasa jiji linazidi kufunguka taratibu na shughuli za kiuchumi zinaendelea vizuri pia.

So,
reli zinachapa kazi, bandari zinafunguka 🐒
 
Kuna kitu bado watu hawajaeleweshwa...

Treni ya Kwenda Kwala ni MGR.. na trip Moja inabeba kontena 27... Yaani uwezo wa kubeba zaidi ya hapo haupo
Wameshauri baadhi ya vipande vya chuma (mataruma ) yabadilishwe ili kuhimili mzigo mkubwa..

Juzi Tanga zimeshushwa mataruma mengi kwa ajili ya njia ya Kaskazini ili reli ibebe mzigo mwingi kwa wakati mmoja

Bandari ya Dar inashusha kontena 4,000 kwa siku... Sasa hiyo reli hata ikienda trip 20 kwa siku ni kazi Bure...

Kinachotakiwa labda ijengwe reli Mpya kabisa...ya Kwenda Kwala...
 
Upo sahihi mkuu. Ukitaka kusafirisha vitu vya nyumbani wakati unahama kutoka Dar-es-Salaam hadi Dodoma inakugharimu 1M+ kwa roli wakati SGR ingekuwa kwa kipimo tu cha uzito wa mizigo hata 300k isingevuka.

Pia bidhaa Dodoma ni ghali kwa sababu ya gharama za usafirishaji bidhaa kwa maroli. SGR ingekuwa mkombozi.
 
Wakati CCM wanaijenga wewe na lisu mlikuwa unaipinga leo unaseje mama

USSR
Weka ushahidi cdm wakipinga, na weka ushahidi kuwa hiyo reli ni fedha za ccm na sio za mkopo zitakazolipwa na watanzania wote.
 
relax bas gentleman,
hakuna haja ya mihemko,

nimelazimika kumueleza muungwana aliereply comment yangu ya kwanza, ujumla wa hali ya mradi wa SGR unavyoendeshwa kwa weledi wa kiwango cha juu sana kimtandao. Na nikasisitiza wananchi kuendelea kutumia mtandao kufanya booking ya safari za usafiri huo wa uhakika zaidi Tanzania.

sikua na haja ya kubabaika wala kupoteza wangu kudeal na porojo zako zingine ambazo kwakweli hisia binafsi useless kweli 🐒
Ni mjinga tu ndiye anadhani reli hujengwa kwa lengo la kubeba abiria bila kujua abiria ni ziada tu, kutokana na lengo la kubeba mizigo ndiyo sababu reli huanzia bandarini na siyo kati ya mji na mji.
 
Back
Top Bottom